Singida: Afande apiga picha za uchi na kupiga wake za watu

KALOKAZA

Member
Jan 3, 2013
95
135
Wanawake Mjini Singida wapo katika harakati za kumtafuta na kumpiga Askari mmoja wanayemtuhumu kuwa amekuwa na tabia ya kuwaibia waume zao, na wanapobaini anawabambikia kesi na kuwatishia kuwakamata. Masuala ya Utawala yameunganishwa na masuala binafsi ya binti huyu anaepiga picha mbalimbali za na vigogo wa kisiasa mkoani humo, na wafanyabiashara wenye pesa tunaweka moja tu kwa sababu za kimaadili. Mamalaka husika zimsaidie aachane na tabia hii isiyo ya kiuungwana katika jamii.
 
Huyu afande aonywe, tabia hii sio njema
 
Attachments

  • JUMBE 001.jpg
    JUMBE 001.jpg
    47.6 KB · Views: 4,200
Hali ya uchumi ni ngumu, pengine anafanya vile kujikimu. Kosa ni pale anapoanza kuwabambikizia wengine kesi kwa hofu ya yeye kufumaniwa
 
Wanawake Mjini Singida wapo katika harakati za kumtafuta na kumpiga Askari mmoja wanayemtuhumu kuwa amekuwa na tabia ya kuwaibia waume zao, na wanapobaini anawabambikia kesi na kuwatishia kuwakamata. Masuala ya Utawala yameunganishwa na masuala binafsi ya binti huyu anaepiga picha mbalimbali za na vigogo wa kisiasa mkoani humo, na wafanyabiashara wenye pesa tunaweka moja tu kwa sababu za kimaadili. Mamalaka husika zimsaidie aachane na tabia hii isiyo ya kiuungwana katika jamii.
usifikiri wote walioko humu wanadanganywa akili kama wewe fikiri sana kabla hujafanya uamuzi wa kuandika kitu futa tena kichwa cha habari hapo juu hakilingani na maelezo yako iweke hiyo picha unayoisema kuwa amepiga picha ya uchi ili tuamini usipoweka tunajua ni majungu yenu tu unapoleta habari hapa tupia na picha halisi tujue na ukweli ubainike uhalisia wa kichwa cha habari na maelezo yako hayalingani iweke hiyo picha tuione na kujua ukweli wa habari yako usipoweka tunajua ni una matatizo na huyo afande
 
Wanawake Mjini Singida wapo katika harakati za kumtafuta na kumpiga Askari mmoja wanayemtuhumu kuwa amekuwa na tabia ya kuwaibia waume zao, na wanapobaini anawabambikia kesi na kuwatishia kuwakamata. Masuala ya Utawala yameunganishwa na masuala binafsi ya binti huyu anaepiga picha mbalimbali za na vigogo wa kisiasa mkoani humo, na wafanyabiashara wenye pesa tunaweka moja tu kwa sababu za kimaadili. Mamalaka husika zimsaidie aachane na tabia hii isiyo ya kiuungwana katika jamii.

huyu askari ni mrembo sana?
 
Wanawake Mjini Singida
wapo katika harakati za kumtafuta na kumpiga Askari mmoja wanayemtuhumu
kuwa amekuwa na tabia ya kuwaibia waume zao, na wanapobaini
anawabambikia kesi na kuwatishia kuwakamata. Masuala ya Utawala
yameunganishwa na masuala binafsi ya binti huyu anaepiga picha
mbalimbali za na vigogo wa kisiasa mkoani humo, na wafanyabiashara wenye
pesa tunaweka moja tu kwa sababu za kimaadili. Mamalaka husika
zimsaidie aachane na tabia hii isiyo ya kiuungwana katika jamii.

Wewe ulichopost hapa ni majungu tu mkuu,mbona hiyo picha ulobamdika haionyeshi uhusiano na usemacho? Isitoshe wamepiga picha ktk hali ya maelewano ya furaha tu! Au mkuu umepigwa chini ndio unajaribu kumuharibia kazi binti wa watu? Acha wivu wako wa mapenzi,kama kakuacha haimaanishi ni mtu mbaya la hasha! Bali ujue part yako ktk story ya maisha yake is over!! Accept it and let it go!
 
Wanawake Mjini Singida wapo katika harakati za kumtafuta na kumpiga Askari mmoja wanayemtuhumu kuwa amekuwa na tabia ya kuwaibia waume zao

Unawezakututhibitishia pasi na mashaka tuhuma hii?

na wanapobaini anawabambikia kesi na kuwatishia kuwakamata. Masuala ya Utawala yameunganishwa na masuala binafsi

Kuna ushahidi wowote kuthibitisha maelezo haya?

binti huyu anaepiga picha mbalimbali za na vigogo wa kisiasa mkoani humo, na wafanyabiashara wenye pesa

Kunamakosagani kupiga picha na uliowataja. yeye ni mwanadama kama wanadam wengine anamahitaji kama wanawake wengine.

tunaweka moja tu kwa sababu za kimaadili.

Thibitisha maadili yaliyokiukwa?

Mamalaka husika zimsaidie aachane na tabia hii isiyo ya kiuungwana katika jamii

Zitaweza kumsaidia endapo tu utazithibitishia bila mashaka yoyote tuhuma zako.

.............................................
 
Wanawake Mjini Singida wapo katika harakati za kumtafuta na kumpiga Askari mmoja wanayemtuhumu kuwa amekuwa na tabia ya kuwaibia waume zao, na wanapobaini anawabambikia kesi na kuwatishia kuwakamata. Masuala ya Utawala yameunganishwa na masuala binafsi ya binti huyu anaepiga picha mbalimbali za na vigogo wa kisiasa mkoani humo, na wafanyabiashara wenye pesa tunaweka moja tu kwa sababu za kimaadili. Mamalaka husika zimsaidie aachane na tabia hii isiyo ya kiuungwana katika jamii.

Hii post yako haieleweki sawasawa. "Waume za watu"hao watu ni akina nani unaowawakilisha? Funguka , badala ya kusema waume za watu ilihali wewe ndo muathirika? Hapa pana kitu sio hvhv, yumkini wote wawili yaani wewe na yeye mnagombea bwana ili kwa kuwa umezidiwa kete waamua kumpakazia mwenzio.
USHAURI: Hapa sio sehemu muafaka kwa hoja dhaifu isiyo na ushaidi yakinifu.

fikiri sana unapokuwa unaandika comment siyo lazima uchangie katumwa na mwigulu ili iweje na umesema mwigilu ndio fani yake nini ongea vizuri tukuelewe

Toka kule Igunga ilifahamika bila wasiwasi kuwa Mwigulu ni MFUSKA kwahiyo ndiyo maana tunasema ufuska ndio fani yake!!
 
Waonyeni na mpambane na waume zenu wanao mfuata,kwani anawabaka?
 
Wivu tu! Kwa staili hii ya kutuhumiana bila ushahidi na kubandika picha itashusha hadhi ya JF maana mtu anaweza kutumia majukwaa ya JF kuwachafua wengine! Mods futeni hii thread ya kizushi na zengine zote Kama hii kulinda hadhi ya JF!
 
nahisi mtoa uzi una visa vya kimapenzi na huyo afande! inawezekana alikuwa mamsap wako wa pembeni sasa umezidiwa kete na wenye pesa zao, ndo ikawa kisa cha kutengeneza uzi ili kumchafua! halafu 'heading' yako na hiyo picha mbona vimefarakana?! sometimes ujaribu kuacha utoto!
 
Back
Top Bottom