since i started dating her..mambo hayaendi kabisa..

Uvivu wako Wa kumuwaza Na kutochangamkia deal Kama zamani utakupeleka kubaya, Ngoja deal zioshe uone kama atakutafuta tena!


QUOTE=mkaliwakitaa;3835306]Mtoto ni mkali kweli kweli..nampenda kweli kweli..lakini ..its two weeks now since i started dating her..all my deals that were to happen this week and last week zooote zimeharibika..naanza kuhisi kuwa huyu mtoto anagundu..nimteme??[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom