Godlove 17
Member
- May 7, 2023
- 29
- 66
Nina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
Asante Kwa ushauriKwa ufupi.
.Jaribu mazoezi kabla ya kulala,
.Zima taa kabla ya kulala,
.kula mapema masaa mawili kabla ya kulala, ikipendeza kula matunda usiku sio unashindilia vyakula vigumu(Makande,maugali,mawali)
.Kunywa chai yenye tumeric kabla ya kulala.
.Usitumie kahawa kabla ya kulala(Caffeine)
.Weka mazingira ya kulala bila kutumia nguvu nyingi epuka makelele na chochote unachojua kinakunyima usingizi vikiwemo msongo wa mawazo.
unaweza ukaanza kujaribu kimoja kimoja au ukafanya vyote in combination.
Goodluck
Huwa napata chini ya saa 1 siku nyingne sipati kabisa ila kuota naota ndotounapata usingizi masaa mangapi?
Hii ni nzuri sana kufanyika kwa pamoja. Ila pia kunahitajika kufanya tathmini ya nini hasa kilianzisha tatizo.Kwa ufupi.
.Jaribu mazoezi kabla ya kulala,
.Zima taa kabla ya kulala,
.kula mapema masaa mawili kabla ya kulala, ikipendeza kula matunda usiku sio unashindilia vyakula vigumu(Makande,maugali,mawali)
.Kunywa chai yenye tumeric kabla ya kulala.
.Usitumie kahawa kabla ya kulala(Caffeine)
.Weka mazingira ya kulala bila kutumia nguvu nyingi epuka makelele na chochote unachojua kinakunyima usingizi vikiwemo msongo wa mawazo.
unaweza ukaanza kujaribu kimoja kimoja au ukafanya vyote in combination.
Goodluck
Mungu akusaidie ndgu hujafa hujaumbikaWewe unafaa kuwa mlinzi
Njoo inbox.Nina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
Tumia bilinganya...utanishukuruNina sumbuliwa na tatizo la kukosa usingizi miaka 6 sasa sipati usingizi nimechoka na utegemezi wa dawa ambao haunisaidii.Naombeni msaada na mm niwe kama binadamu wengine
weka humu mkuu, elimu kwa woteNjoo inbox.
Hilo laweza kua tatizo la fya ya akili.
Hapana ukiwa mlinzi utakuwa making na lindoMungu akusaidie ndgu hujafa hujaumbika
Asante kkTumia bilinganya...utanishukuru
Liweke wazi ili wengi wanufaike. Niliona clip Naibu Waziri wa Afya alisema Bungeni tuwasaidie kuwapeka hospital wanaosumbuliwa na ugonjwa wa akili, matibabu ni bure. Sina uhakika kama ile clip ni ya kweli au ni ya mchongo maana kuna wagonjwa hupelekwa Mirembe baada ya muda mfupi tunawaona tena mtaani kwetu na wanaendelea kutupa kisago!! Ni shidaaa! Kwa anaujua atujue kwa nini wanarudoshwa wakati bado hawajapona??!!Njoo inbox.
Hilo laweza kua tatizo la fya ya akili.
Afuate huu ushauriKwa ufupi.