Sina imani tena na Chadema

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Naona wazi sasa sinema la siasa la siasa linavyovutia watu na kuacha watu na matumaini na shida zisizotatulika.

CHADEMA WANASHINDWA KUPIGANIA MAMBO MUHIMU SASA KAMA bei duni za Pamba, na minofu ya samaki Mgomo wa madaktari, Mgogoro wa walimu na selikali au Uporwaji wa madini wanatuletea tena move ya maigizo ya dr Slaa, Myika na Lema eti wanataka kuuawa!!

Lengo la muvu hii watu waache kujadili mambo nyeti wajadili utumbo huo. Mi sasa sioni harakati za chadema bali siasa uchwala. Sioni umoja tena wa chadema bungeni.

Wanasiasa Mnakera, mnakera kweli. Wawaache wanaharakati wadili na Mnyika kwa lipi.

Washabiki wa vyama fumbua macho Chadema washakula chunguza uone.

Siamini kwenye miujiza au habari za kuhusu freemason na mikanda yao ya habari za "microchip".
Ila chadema inavyoenda nahisi sasa Mbowe kawekewa Microchip na sasa anaendeshwa na mtambo uliopo ikulu. Hakuna kitu sasa. Wakulima jipiganieni. Wavuvi jipiganieni, walimu jipiganiene. CHADEMA HAKUNA UMOJA TENA WANAONGEA WANAPATA POSHO wanarara.

siasa siasa siasa zinakera. A
 
Wapiganie bei ya pamba toka kaburini? Mbona unakuwa mlafi wa mali kabla ya uhai? Na umeshindwa nini wewe binafsi kupagania bei ya pamba badala ya kutegemea wanaume wengine wakufanyie hiyo kazi?

Watu wanahofia maisha yao wewe unaongea bei za pamba?
 
Kama kupigania wameshapigania, si li chama lenu la magamba ndio mnawanyonya watanzania, SHAME ON YOU GAMBA.
 
Lini ulikuwa na imani na chadema wewe?
Pumba zako tunazikumbuka.
Mbona unakuwa na mawazo kama ya kuku wewe? Eti wapigani bei ya pamba sijui nini! Kwani chadema ndiyo wanaongoza serikali?
 
Wenzako kuwa hatarini kutokana na kupigania haki yako wewe ndiyo unawakana na kusema huna imani nao, wao watajitahidi vipi kukusimamia wewe unayelalamika wakati wao kwasasa nguvu yao ni umma (ukiwemo wewe). Inasikitisha sana pale mtu anayepiganiwa haki hajitambui na kuwa ndiye anakatisha tamaa wale wanaompigania.
 
Kilaza wewe.....kwani lini ulikuwa na imani na chadema????...wewe mwenyewe umetumwa kubadilisha upepo.....sasa waambie waliokutuma kuwa ole wao hao waliotishiwa maisha wapatwe na lolote baya!.....mshaifanya tanzania nchi yenu peke enu eeh?
 
Na nukuu maneno ya spika!!!!!!! waliokubali waseme ndio....ndiooooooooo wasiokubali waseme sio......sioooooooooooooooooo nafikiri waliokubali wameshinda.
halafu linganisha na hoja yako.
au wewe ni no buku no cotton ...mtakoma na body ya pamba ni cdm maanake wameshatangaza bei ya pamba ni sh 650/=
 
chadema itetee bei a pamba kwani inaserikali.Kama huna imani nayo unaweza ukaweka imani yako kwa ccm au cuf au udp
 
Chadema wananchi wanaitaji kujua mtawafanyia nini sio siasa zenu za matukio.
 
Sina imani na mtoa mada ana nia ya kuwafanya watu waichukie chadema!
 
Back
Top Bottom