Sina hisia na mwandani wangu

Mkuu umeenda sawa na upeo wangu, i also urge vijana wenzangu. Mwanamke wa kuoa kwa zama za sasa hakikisha umeishi nae for not less than 1 and a half year ndani ya kuta 4.

Ndani ya muda huo mwanamke ata awe mnafiki vipi atakuwa ameshakuwa comfortable na wewe kiasi cha kudhihirisha tabia zake halisi kwa asilimia kubwa na pia utakuwa umeshafumbuliwa kama utazimudu ama la! Acheni kukurupuka kisha mnakuja kulalama humu.
Mkuu nataka nikuhakikishie ili

Matatizo ya ndoa za leo ni MATOKEO YA WATU KUACHA MISINGI YA MAHUSIANO UA NDOA.

Zamani sana, Ndoa zilidumu. Kijana alitoka masomon, aliporudi nyumban, wazazi walimwambia "Kaoe binti wa fulani" nabinti naye kwao aliambiwa "Mchumba wako yupo" ivo kila mmoja alijiandaa kwa ajili ya mwenzake namambo yalikua motooo hamna aliyetaka kuwaaibisha wazazi...... Hizi zama zikapita.


Zikaja zama za Uchumba kisha ndoa , hapa Ililazimu watu kuishi kichumba kwa muda usopungua mwaka mmoja mpaka miwili , yaaan kijana anahangaika kumjua mwenzake, na binti anahangaika kujua madhaifu ya mwenzake..so mpaka wanaona wanakua wamejuana namna hata ya kubebana.


Ebwanaaaa Zikaja Nyakati zetu izi sasa, zakukutana FB/JF/njiani/club/kazin n.k.. Demu umempata leo. Umemgonga. Kakukatikia mauno wao wanasemaauno uzazi,miez miwili ndoa


Hawa kwenye ndoa, hawatosonga mbele sanasana watasonga ugali.



Kwaufupi kwasasa MAPENZI HAYANA RADHA NA YAMEKUA MEPESI SANAAAAA .



"In Good times ,Friends know you BUT in Sorrow, you know them "
 
I I ws thinking of divorcing her.....! Lkn namuonea huruma sana mwanangu, with that kind of woman, he will not live the way I want to prosper in his life. Naumia mno na hii kitu, kwa kuwa napenda mtoto pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana mkuu mimi sijaoa lakini naweza kukushauri kitu, Penda Yale madhaifu yake, yaani chukulia Kama yeye kuwa na madhaifu Ni kitu Cha pekee na una bahati kuwa nae.Thats all. Usitake kumbadilisha huwezi, narudia Tena huwezi kumbadilisha, tengeneza lifestyle flani yeye ndo abadilike, aone kupitia wewe.
Mfano unasema Ni mchafu, wapi jikoni mwili wake hawezi kuuusafisha au nyumba hasafishi. Kama Ni eneo unaloweza kutake action Basi fanya hivo nenda kasafishe jiko ,OSHA vyombo Mara moja moja .
Mfulie ata nguo zake.
Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rudi kwenye misingi ya mahusiano yenu, je mliijenga ndoa katika misingi ya imani au?
makosa huanzia hapa, fanya yafuatayo
1. jifuze kuomba naye kila siku..
2. someni maandiko matakatifu mkiwa pamoja
3. tenga siku mwambie tufunge maombi tuombeane, ambie aseme kwanza nini anatamani Mungu ambadilishe mumewe (asichokipenda kwako) na wewe mwambie ajue unaomba Mungu abadilishe nini kwake.. (nb. usitaje vingi sana hata viwili vinatosha)
Fanya hivo hata kwa mwezi mzima utaona matokeo..
Ndoa sio nguvu mkuu utaumia
Umeniongezea kitu japo sijaoa nitazingatia haya.Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nataka nikuhakikishie ili

Matatizo ya ndoa za leo ni MATOKEO YA WATU KUACHA MISINGI YA MAHUSIANO UA NDOA.

Zamani sana, Ndoa zilidumu. Kijana alitoka masomon, aliporudi nyumban, wazazi walimwambia "Kaoe binti wa fulani" nabinti naye kwao aliambiwa "Mchumba wako yupo" ivo kila mmoja alijiandaa kwa ajili ya mwenzake namambo yalikua motooo hamna aliyetaka kuwaaibisha wazazi...... Hizi zama zikapita.


Zikaja zama za Uchumba kisha ndoa , hapa Ililazimu watu kuishi kichumba kwa muda usopungua mwaka mmoja mpaka miwili , yaaan kijana anahangaika kumjua mwenzake, na binti anahangaika kujua madhaifu ya mwenzake..so mpaka wanaona wanakua wamejuana namna hata ya kubebana.


Ebwanaaaa Zikaja Nyakati zetu izi sasa, zakukutana FB/JF/njiani/club/kazin n.k.. Demu umempata leo. Umemgonga. Kakukatikia mauno wao wanasemaauno uzazi,miez miwili ndoa


Hawa kwenye ndoa, hawatosonga mbele sanasana watasonga ugali.



Kwaufupi kwasasa MAPENZI HAYANA RADHA NA YAMEKUA MEPESI SANAAAAA .



"In Good times ,Friends know you BUT in Sorrow, you know them "
Hahahahah umenimalizaa! Ati nini!??? Watasonga ugali😀😀😀
 
We all know unachotaka kukifanya.

Stop trying to blame it on your wife. At least have the decency ya kukaa nae chini first na kutafuta suluhisho.

1. Ni mchafu? Have you tried helping her in some of the chores? Ama ukishakupa miguu juu na rimoti?

2. Unampa ushauri wa maendeleo je mtaji umempa?

3.Mzito kitandani? Wameanza leo? Ashinde akicharakika kazi za nyumbani na siku atoke sarakasi sio?

4. Ana matumizi makubwa kama gani labda. Time is changing, everything is changing, vitu vinazidi kupanga bei.

Conclusion. Una lako jambo usisingizie mkeo.
Mimi wewe ukisemaga neno , roho yangu inahisi kupona kabisa.

You are true definition of Woman, such a decided, practical and determined woman

Na unaposimamia kitu ,husimamii tu kama mkumbo bali unakua na SABABU ZA MSINGI NA ZA MAANA ZA KUSIMAMIA IKO KITU.

Wakat fulan ,nikifikiriaga nasema huenda "Umri na uzoeifu wako pia, unakupa sababu yakua na mawazo makubwa"

Kwa mfano , Ungekua bado kabinti, na ukawa tumeoana, Kama mawazo yako yangekua hayahaya, basi nisingekaa kamwe kuhesabu nmekusamehe mara ngapi CoZ kichwan nmejenga neno hili ," upo perfect. Ukikosea, unakosea bahati mbaya".

But anyway huu ndo upande wako niujuao !!ule mwingine siujui.

"In Good times ,Friends know you BUT in Sorrow, you know them "
 
Mtu mpaka unaingie kwenye ndoa naamini umemchunguza mwenza vya kutosha na unajua tabia zake, uchumba ni wa muda mrefu na mtu kama ana fake utamjua tu labda ukute wamefahamiana miezi sita wakatangaza ndoa pasipo kujiridhisha na tabia na mwenendo wa kila mmoja

Lakini pia love wind everything..you can change because of love

Nakumbuka nilipoanza mahusiano na mume wangu kabla hatujaona aliniambia hapendi mwanamke.mwenye makudi ya marafiki...nilikua na marafiki balaa yaani chuo kila kona nikipita najulikana na ukija hostel kwangu utakuta wamejaa kila jinsia wa kike na wa kiumr...na sim yangu ilikua busy kuwasiliana na marafiki

Nilianza kupunguza marafiki, nilianza kuacha kuspend muda mwing na marafiki au keenda outing na marafiki, mpaka end of the day nilijikuta nimezoea tabia ya kupenda kujisomea au kufanya mambo mengine na muda mwingi nilikua naspend nae na kama hayupo basi ntakaa hostel ntasoma au ntaenda nyumbani

Marafiki nao waliona nimebadilika kwa hiyo kwe ye ratiba zao wakawa hawaniweki
Na mpaka leo tupo kwenye ndoa mwaka wa tisa nimeweza kuishi vile alivyopenda...ni mengi ambayo alihitaji nibafilike na mimi pia kuna ambayo nilitaka abadilike..ilichukua muda lakini now we are a perfect couple
Makwaruzano hayakosekani lakini tunazungumza yanaisha na maisha yanaendelea

Kama kweli mwanamke anampenda huyo mwanaume atabadilika tu..mapenzi yana nguvu



Sent using Jamii Forums mobile app
Good for u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma thread yako mara 3 nikagundua inawezekana tatizo ni wewe.....kwanini nasema tatizo ni wewe???
Weakness zote ulizosema za mkeo ni vitu ambavyo ulitakiwa kuvi- observe kipindi cha uchumba "courtship" ina maana kama umemchumbia mtu na ukaamua umuoe bila shaka umemkubali jinsi alivyo si kwa strength zake tu bali pia na weakness zake.
Uchafu, matumizi yasiyo ya lazima,matumizi yasiyo ya maana, mvivu wa fikra za kimaendeleo na uvivu kitandani.....sasa kama hivi vinakukera mwenzetu enzi za uchumba ulivutiwa na nini mpaka ukaamua kumfanya mke????? Au mlikutana usiku asubuhi mkaoana au ulitafutiwa na wazazi?????Kama ndivyo una haki ya kulalamika ila kama ulimtafuta mwenyewe ukadate na ukafanya maamuzi ya kuoa wewe ndio tatizo trust me...Pambana na hali yako!!!!!
Mahusiano mengi yanaharibika kwasababu couples hazijui ku "communicate" unakuta mwenzanko anakukera na wewe unamnunia badala ya kumwambia au unamwambia kwa ukali au kwa kebehi badala ya kutumia lugha ya upendo na upole.
nadhani mwenzako anapokukwaza ama unapoona ana upungufu flani jaribu kwenda nae pole pole huku ukiongea nae na kumbadlisha kwa vitendo.
* Kama ni mchafu fanya usafi wewe mara moja moja huku kimueleza namna uchafu unavukukera lazima ataona aibu na kuacha
* kuhusu matumizi mabaya kaeni wote pangeni budget na uwe mfano kuisimamia na kushirikishana mara kwa mara inapotokea matumizi ya ziada. Motivate her kufanya miradi ufugaji,kazi za mikono etc kama mmeajiriwa au kama ye ni mama wa nyumbani tu mkumbushe kua life wont always be the same hivyo ajizoeze kuwa na matumizi mazuri na kujishuhulisha ( hapa tumia lugha nzuri ya upole na pia unapomwambia angalia yuko kwenye mood gani, yawezekana anakua amechoka ama hayuko sawa ndo maana anakua negative)
* She is too heavy to handle in bed???? Ama ni kwa vile ushamtoa kasoro kibaooooo ko hata mood inakutoka???? Appreciate her the way she is coz binti uliemuoa amekua mama amekupa zawadi ya mtoto ,mwili umepata mabadiliko so mvumilie. Make her feel wanted, flirt with her, tease her with spicy texts....mnunulie vinguo sexy , exotic perfumes than tell her u want her to wear that mkiwa...make your sex life exciting baba...usiishie kulalama play you part .
Usiishie tu kua baba bali be a husband and be a partner.....change her and work together to make your marriage exciting,
I took my time to write all this coz i hope utasoma if not you someone else and itasaidia kubadilisha mkeo na ndoa yenu.
Meghan
Hivi unajua mlivyo mabingwa wa kupretend?????kuna kiumbe mnafiki na bingwa wa kuficha makucha km mwanamke????mtu anaye pretend mapenzi kwa mwanaume mwenye umri waa babu yake miaka 90 kisa pesa?mtu anayeweka magodoro matakoni ili aonekane Ana wowowo kumbe Hana!kucha fake! nywele fake!kope fake!ngozi fake!mtu jasiri kiasi hicho unawezaje kumtupia lawama Mwanaume eti alishindwa kugundua mapema...

Ushauri mzuri ila waki harakati yaani mtu anasema mapungufu ya mkewe wewe unayageuza fimbo ya kumchapa nayo.....

Nasema hivi siku wanawake wakiacha kupretend ndo siku wanaume wataacha kuwa na stress za ndoa....

Mbaya zaidi mnahisigi hamna makosa kabisa eti wanaume ndo chanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi wewe ukisemaga neno , roho yangu inahisi kupona kabisa.

You are true definition of Woman, such a decided, practical and determined woman

Na unaposimamia kitu ,husimamii tu kama mkumbo bali unakua na SABABU ZA MSINGI NA ZA MAANA ZA KUSIMAMIA IKO KITU.

Wakat fulan ,nikifikiriaga nasema huenda "Umri na uzoeifu wako pia, unakupa sababu yakua na mawazo makubwa"

Kwa mfano , Ungekua bado kabinti, na ukawa tumeoana, Kama mawazo yako yangekua hayahaya, basi nisingekaa kamwe kuhesabu nmekusamehe mara ngapi CoZ kichwan nmejenga neno hili ," upo perfect. Ukikosea, unakosea bahati mbaya".

But anyway huu ndo upande wako niujuao !!ule mwingine siujui.

"In Good times ,Friends know you BUT in Sorrow, you know them "
Shukran Kaka. Always stand for what you believe in.

Goodnight.
 
Mpumbavu Sana! Unadhani kila aliyeoa atakusaidia? Mengine yataka moyo ukishauriwa huwezi kuyatenda.Unaweza kupiga deki kufua nguo mpaka mapazia? Mfulie mpaka chupi. Hanyoi magugu mchanishe msamba kamata wembe. Hao waliooa ya kwao yanawashinda utapewa experience itakayokufanya ujute. The wise of wisdom wish to learn even from the child! Acha kuchagua watu wa kukupa ushauri. Sio kila ukuta uliopakwa rangi ni ukuta. Nyingine ni milango ya siri ya kutokea kwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu....expectation zimeenda kinyume na nilivyotarajia. Niko ktk dimbwi la mawazo mnooo, kiasi ambacho huwa naishia kuuumia kwa mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiumize kichwa itakuhasili ww na familia yko
Tafta weekness yake apo ndo upige
Kama anaogopa wazaz wke sana tumia vitisho vya kumrudisha
Kama anajiona sana mtaan mgombeze abadrike kwa kuongeza saut kidogo
Kama ni mzembe na anapenda kulala tu na hana caring na kitu chochote mpe shughuli aisimamie yy
Kikubwa tumia akili yko kumtengeneza na kwenye mawazo ya maana sio lazima achangie mawazo ata akili pia

Kingine punguza ukimya bro unaonekana ni mkimya na unaeogopa marumbano mbele za watu
Sometimes mfanye mtu akuone we ndo alpha na si vinginevyo
Wanasema wanawake wengi hawana akili za kujiongoza, huwez kuwa kiongozi kama unaogopa watu watakufikiriaje
 
Pole Sana mkuu mimi sijaoa lakini naweza kukushauri kitu, Penda Yale madhaifu yake, yaani chukulia Kama yeye kuwa na madhaifu Ni kitu Cha pekee na una bahati kuwa nae.Thats all. Usitake kumbadilisha huwezi, narudia Tena huwezi kumbadilisha, tengeneza lifestyle flani yeye ndo abadilike, aone kupitia wewe.
Mfano unasema Ni mchafu, wapi jikoni mwili wake hawezi kuuusafisha au nyumba hasafishi. Kama Ni eneo unaloweza kutake action Basi fanya hivo nenda kasafishe jiko ,OSHA vyombo Mara moja moja .
Mfulie ata nguo zake.
Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna kipindi nilijihis nasema sana hadi nikajiona napoteza nguvu zangu, Kuhusiana na issue za kufanya kazi ndani. Naomba nitoe mifano ifuatayo, Na nilikuwa nafanya hivi just tu kwa kumuelewasha na sio vinginevyo;

1. Nilikuwa nina tabia ya kwenda mwenyewe sokoni, kwa hapa Dar yy sio mwenjeji sana, na nilikuwa nalifanya hili mara moja kwa wiki( Jumapili) na kununua mahitaji yote ya ndani ya wiki nzima. Huwezi amini, naweza nikaleta matunda kwa ajili ya juice/ kula tu kawaida yanaweza kubaki ktk mifuko ya sokoni kwa siku mbili hadi tatu. Nikija kushtuka vitu vimeshaharibika na akawa anavitupa kwa vificho bila ya mm kujua. Nikawa namuuliza, yale matunda ya juice ninayonunua yako wapi na ndani tunaishi watu wawiki tu ?Nilipoona hivo nikawa nina tabia ya kuchunguza jikoni kabla sijatoka kwenda kazini, ili nione km mambo yamekaaa sawa, yaaani ni full hectic.

2. Nilinunua jiko la gesi ambalo ni standing( one plate ya umeme, na 3 plates za gesi) na pia lina oven ndani yake. Na nikamfundisha namna gani ya kufanya usafi soon baada ya kupikia na nikamisisitiza kuwa ahakikishe akisha pika asiache mabaki ya chakula jikoni, kwa kuwa jiko litaharibika haraka, na lipo juu kwa gharama( Price iko juu). Lkn ikawa mambo ni yale yale, mtu anapika anaacha jiko chafu km lilivyo. nikawa mwenyewe nikiruid kazini usiku, nakagua jiko na kulisafisha mwenyewe kwa kuwa nikiacha, litaharibika.

3. Nakumbuka soon baada ya mtoto kuzaliwa(after 8 months) vikaanza vitimbi vya kutaka dada wa kazi. I told her very politely kuwa kwa sasa hali ya maisha ni ngumu na siwezi kumiliki housemaid kwa kuwa bado familia yaetu ni ndogo na pia nina limited income na mjukumu ni mengi pia. Nikampa condition kuwa nitamleta housemaid kama akienda shule kusoma/ akipata kazi. Lkn pia nikamuuliza, kwani kazi kubwa humu ndani ni ipi? akanijibu kuwa ni kufua nguo , kidume nikajitutumua nikanunua mshine ya kufulia na kumueleza kuwa sitaki dada wa kazi humu ndani, kwa kuwa hakuna kazi nzito ambayo itakufanya upoteze muda mwingi. Kuona hivi vikaanza vitimbi vya kuachiwa nguo za mtoto kufua, mtu anaacha nguo za mtoto siku mbili/ tatu na anasingizia kuwa anaumwa, nikawa nafua naona mtu haponi, ila kazi nyinginezo anafanya. nikaona huyu ananifanyia makusudi, nikawa naendelea kufua nguo za mtoto, sometimes hata usiku wa manane naamka nazifua. Na hili lote ni kutaka dada tu wa ndani.
Still baada ya kuona kuwa hakuna dalili za dada, Vitimbi vikahamia kwa mtoto( sitaki nivitaje hapa). Sasa kwa bahati nzuri mm nampenda mno mwanangu, siku hiyo nikamuuliza unamtesa mtoto kwa kuniadhibu mm kutokuleta dada wa kazi?, nikamwambia noooh. Hichi kitu hakivumiliki kabisa, ndio roho ikaanza kubadilika kwake.

sasa kwa mifano km hii, mtu utakuwa na uvumilivu na intimaacy kwa mkeo kwl? na kumvumilia vyote hivyo?


Nadhani members mmenielewa, nilikuwa natumia kila hatua ya kuweka mambo sawa, lkn mmh, uvumilivu una mwisho wake.
 
Back
Top Bottom