Habari ya wakati huu wana Jamie forum
Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);
1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.
2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.
3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.
4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.
5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.
Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.
NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.
Nakaribisha ushauri...ni serious case
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kwa backline n Mengi.TANGAZO.
mimi msukuma.com natangaza kuwa suala la kuoa nimelisogeza mbele mpaka pale wana ndoa watakapoanza kusifia ndoa zao.
Kabisa mkuuMfowadie hii thread ulio iandika ataelewa nn unataka kwake.
Sidhani kama ni kweli...usifananishe maisha ya mtu mmoja na maisha ya watu wengine...suala la usafi ni kipaumbele kwa wanawake asilimia 90, sasa huyo kama usafi sio kipaumbele chake sijui anamatatizo gani
Ni mvivu balaaa. Kuna kipindi alisumbuliwa na goti, Dr akashauri kuwa kwa kuwa ana uzito uliozidi na magoti yana acid nyingi, ikashauriwa kuwa apunguze vitu vya mafuta na uchachu. Pia aanze mazoezi mepesi ya kutoka jasho kwa ajili ya ku boost metabolism. HADI LEO HII NOTHING HAS BEEN DONE, PAMOJA NA KUMSISITIZA SANAMazingira pia yanamfanya mtu kudumaa kimawazo n.k...fanya hili jaribio dogo mnunulie nguo za mazoezi kama traki suti na uchague wikiendi moja mfanye mazoezi ya kukimbia angalau kilomita 3 n.k,baada ya hapo jadilini changamoto zenu na mzitatue.
Ndugu yangu, walioweka uchumba kabla ya ndoa hawakuwa wajinga....waliyafahamu haya. Sasa napata ukakasi, najiuliza ulioa vipi mke wa aina hiyo?!! Au kaja kubadilika ndani ya nyumba?!!Habari ya wakati huu wana Jamie forum
Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);
1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.
2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.
3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.
4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.
5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.
Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.
NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.
Nakaribisha ushauri...ni serious case
Sent using Jamii Forums mobile app
Msisitize tu,na mfanye wote mkiwa pamoja natumaini atakusikiliza..na tatizo lako litakwisha.Ni mvivu balaaa. Kuna kipindi alisumbuliwa na goti, Dr akashauri kuwa kwa kuwa ana uzito uliozidi na magoti yana acid nyingi, ikashauriwa kuwa apunguze vitu vya mafuta na uchachu. Pia aanze mazoezi mepesi ya kutoka jasho kwa ajili ya ku boost metabolism. HADI LEO HII NOTHING HAS BEEN DONE, PAMOJA NA KUMSISITIZA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Si rahisi kumshauri mke wako hata siku mojaHahaa....hivi kwanini wanandoa hawapendi kuzungumza?
Ilikuwa ni long distance relationship ya miaka miwili, then tukaoana na kuanza mahusiano. Kwa kwl inaniuma mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengine hatupendi kutumia muda wa kutosha kumfahamu muhusika,cha ajabu tunajikuta tumefanya maamuzi ya haraka kwa sababu ya tamaa za mwili tu.Bila kujua mke/mume ni maisha kuna kupanda na kushuka.Wakusikia na asikie, usije ukaoa mwanamke ambaye hujawahi kuishi nae nyumba moja kwa atlest mwaka na nusu! Utaumia...nakwambia tena utaumia! It might sound odd ila itakusaidia sana kujua ni aina gani ya mwanamke unaoa interms of tabia halisi!
Mkuu umeenda sawa na upeo wangu, i also urge vijana wenzangu. Mwanamke wa kuoa kwa zama za sasa hakikisha umeishi nae for not less than 1 and a half year ndani ya kuta 4.Kwa wale vijana wote ambao hamjaoa: Kabla ya kuchukua uamuzi wa kuoa hakikisha unaishi na huyo mwanamke angalau MIAKA MIWILI! Ukiona umeweza kuishi nae kwa kipindi hicho bila matatizo, oa huyo. Japo sio gerentii lakini itakupunguzia matatizo mengi sana huko mbeleni.