Sina hisia na mwandani wangu

Hili povu ulilolimwaga hapa sio mchezo yani unaonekana kabisa una chuki kubwa na huyo mkeo, sasa kwa nini uteseke... Unahitaji ushauri wa kiungwana, au wa kibabe?
May be ana feel certain pain, yupo dilemma, point to decide no option.
 
  • Thanks
Reactions: K M
Age difference ni 6 years. Nilikuwa namueleza juu ya changamoto za maisha na misingi ya kuishi " sustainable life". Lkn uelewa wake ni mdogo, angalau km ni degree holder
Pole kiongozi kwa changamoto hiyo,"age difference" yako na mwenzio ni kiasi gani?
Mweleze tu kwa kina kwamba hauridhiki na hali iliyopo, mpe angalizo kuwa unampa muda fulani wa matazimio (wiki, mwezi, mwaka wewe tu sasa), na kwamba hautasita kuchukua hatua kali zaidi kama hatabadilika, anza na hilo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya wakati huu wana Jamie forum

Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);

1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.

2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.

3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.

4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.

5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.

Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.

NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.

Nakaribisha ushauri...ni serious case

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo mkeo naamini uliridhika na tabia zake kabla hujaoa

Kiapo cha ndoa ni for better and worse..those are the parts of worse zinazozungumziwa katika kiapo

Kaa na mkeo zungumza nae kwa akili na kwa upendo atakuelewa..usichoke kuzungumza nar

Sisi wanawake wakati mwingine tunapenda kubambelezwa na kuambiwa kwa lugha laini na sio kukosolewa kwa maneno makali

Inawezekana aproach unayotumia kumrekebisha mkeo ni too harsh kiasi kwamba anaona kama unamdhalilisha au unamwonea

Hakuna mwanamke asiependa kubadilika ili kunusuru ndoa yake...labda awe mwendawazimu

tafuta njia ya kumwambia mkeo yale usiyoyapenda na vike uavyotaka awe ila uhakikishe kwamba aproach unayoitumia haitamfanya ajisikje ofended au amedhalilika, na pia na wewe inawezekana kuna mambo unamkera mkeo..hebu kaeni mzu gumze mrekebishane pale ambapi mnaona ikakua kikwazo kwa kila mmoja

Kuna madhaifu mengine kwenye ndoa ni ta kuvumiliana na kubebeana na kusaifiana vilevile

It takes time to become a perfect couple..ndio kwanza mna miaka miwili kwenye ndoa...naamini mna mengi ya kuwekana sawa maana kila.mtu ametoka kwenye makuzi tofauti

Huyo ni wako kufa kuzikana...ukisema umwache utaenda utakutana na mwingine pasua kichwa zaidi ya huyo

Yawezekana wakati wa uchumba ali-fake tabia. Na kama ali-fake ili apendwe na kuolewa basi hiyo ndoa ni batili.
 
Ishu kama hiyo,me nafkilia tena mtu wa hivyo,then uishi nae miaka yako yote...bado nalifkilia kuhusu kuoa aisee
 
Ndoa na kipindi cha urafiki ni vitu viwili tofauti kabisa .Mfundishe taratibu ataelewa ndio mana si tunapambana na hawa ambao umri ujapishana sana . Mlee taratibu atakomaa tu
Sometime haya ma parfect couple ni kama bahati nasibu
 
Habari ya wakati huu wana Jamie forum

Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);

1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.

2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.

3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.

4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.

5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.

Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.

NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.

Nakaribisha ushauri...ni serious case

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna tafuta washenga wapende mbili
 
Age difference ni 6 years. Nilikuwa namueleza juu ya changamoto za maisha na misingi ya kuishi " sustainable life". Lkn uelewa wake ni mdogo, angalau km ni degree holder

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, kwa hiyo "age difference" angepaswa tu awe-submissive zaidi ya hivyo, nilidhani mko umri sawa analeta ulinganifu, if you know what i mean, that being said, nashauri hivi:-
Tafuta siku moja tulivu, weekend itafaa zaidi mwende wote sehemu nzuri , i mean mtoko, mkiweza muwe peke yenu mtoto aende kwa shangazi au bibi ake siku hiyo, kama uwezo upo mfanye kama vile honeymoon kwa siku moja, muifanye iwe siku ya furaha kwenu (kwake zaidi), sex ya kutosha, anything that will make your wife happy, baadaye mfahamishe ni jinsi gani unavyompenda (that one must be really, not fake), mwambie pia unavyo-struggle hard for that to happen to eternity, mwambie pia juu ya tabia hizo ambavyo zinakukwaza na kumuomba kwa upendo aziache, siku hiyo ukiwa na zawadi maalum ni bora zaidi, msikie atakachosema, naamini mtakuwa na mwanzo mpya, tuanze hivyo kiongozi!
 
Yawezekana wakati wa uchumba ali-fake tabia. Na kama ali-fake ili apendwe na kuolewa basi hiyo ndoa ni batili.
Mtu mpaka unaingie kwenye ndoa naamini umemchunguza mwenza vya kutosha na unajua tabia zake, uchumba ni wa muda mrefu na mtu kama ana fake utamjua tu labda ukute wamefahamiana miezi sita wakatangaza ndoa pasipo kujiridhisha na tabia na mwenendo wa kila mmoja

Lakini pia love wind everything..you can change because of love

Nakumbuka nilipoanza mahusiano na mume wangu kabla hatujaona aliniambia hapendi mwanamke.mwenye makudi ya marafiki...nilikua na marafiki balaa yaani chuo kila kona nikipita najulikana na ukija hostel kwangu utakuta wamejaa kila jinsia wa kike na wa kiumr...na sim yangu ilikua busy kuwasiliana na marafiki

Nilianza kupunguza marafiki, nilianza kuacha kuspend muda mwing na marafiki au keenda outing na marafiki, mpaka end of the day nilijikuta nimezoea tabia ya kupenda kujisomea au kufanya mambo mengine na muda mwingi nilikua naspend nae na kama hayupo basi ntakaa hostel ntasoma au ntaenda nyumbani

Marafiki nao waliona nimebadilika kwa hiyo kwe ye ratiba zao wakawa hawaniweki
Na mpaka leo tupo kwenye ndoa mwaka wa tisa nimeweza kuishi vile alivyopenda...ni mengi ambayo alihitaji nibafilike na mimi pia kuna ambayo nilitaka abadilike..ilichukua muda lakini now we are a perfect couple
Makwaruzano hayakosekani lakini tunazungumza yanaisha na maisha yanaendelea

Kama kweli mwanamke anampenda huyo mwanaume atabadilika tu..mapenzi yana nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom