Sina hamu na ndoa tena.

Mzee wa Rubisi usichangie hoja wakati umesha jipigia Rubisi,hapa nipazuri sana pa kupata maoni,unapata maoni ya watu wa aina mbali na kuchambua mwenyewe.
 
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,nimejitahid sn kwenda anavyotaka bado haridhiki,mkewangu pia huwa anatabia ya kushika cm yangu na hii style kwangu cjaona kma ni tatzo ila ucku wa kuamkia leo ameniamsha ucngzn nakunambia nijibu sms niliyotumiwa na mwnmke wangu wakti mm cna taarfa yyte km kuna sms.sms yenyewe iliandikwa hivi!BADO NAUMWA DARLING.ukwel nilishtuka sn kwn sikuwa na dem nje ya ndoa,nilichofanya nilipiga cm mda huohuo nakupokea mwanamke huku cm yangu ikiwa loud.yule mwnmke aliomba samhni kwn alikosea number za mwisho.sasa mkewangu hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!
mwache aende ataarudi tu so matter you didnt anything wrong jiamini.
 
Duh! Tatizo lake ni moja tu! Kwa vile anaona hajapata mtoto! Anahisi mayb unajaribu kutafuta mtoto nje! Mkalishe chini umweleze na umhakikishie she is still the one and only
 
Hiyo mbona kesi ndogo sana au na wewe una jambo lingine ambalo hujaliweka wazi humu. Halafu sisi jinsia ya kiume huwa hatulalamiki mitandaoni kuhusu haya mambo ya vyumbani mwetu. Tafakari chukua hatua!!!
 
Kwanza ujue kuwa mke wako anahitaji faraja - maana issue ya kutokuwa na mtoto kwa ndoa ya muda mrefu - bila shaka moyo wake una kidonda tayari. Mke wako anakupenda SANA ila yuko "possessive" - hali inayompata mtu katika mapenzi - kila saa, wakati, mara anataka amwone ampendae, amsikie, ajue nyendo zake etc. kwa ujumla awe karibu naye kila dakika - kuna watu wanakuwa katika hali hizo kwenye mapenzi. Unachotakiwa kufanya:

1. Mpe assurance kuwa huna mpenzi mwingine - unampenda yeye kulko wanawake wote
2. Ukiwa naye mwonyeshe kuwa furaha yako ndio kuwa naye tu na si kitu kingine kinaweza kuchukua nafasi
3. Ongea nae kuwa issue ya kutokuwa na mtoto - humlaumu yeye - ila hata katika hali hiyo unampenda sana
4. unapofanya tendo la ndoa na mkeo - hakikisha unamridhisha vya kutosha
5. Ukiwa mbali naye (kazini) uwe una-communiate naye
6. Tumia NENO LA NAKUPENDA MKE WANGU kila mara

Inaonekana wewe ndio una matatizo - labda unampenda mkeo lakini humwonyeshi kama unampenda na kumjali KWA VITENDO. Usimwache aende kwao - mwambie unapanga kwenda naye kusalimia na mrudi wote. MAPENZI NI KUMFANYA MWENZAKO AJIONE UMEMWEKA MOYONI MWAKO 100%:attention:
Hii jamii ya kike haitabiriki ndugu unaweza fanya yote hayo na bado asiwe na imani na wewe. Hiyo ya 6 naona kama imekaa kimaigizo zaidi na hapo ndio ataanza kuhoji iweje aniambie nakupenda kila wakati au kuna jambo kafanya anajaribu kuficha?
 
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,nimejitahid sn kwenda anavyotaka bado haridhiki,mkewangu pia huwa anatabia ya kushika cm yangu na hii style kwangu cjaona kma ni tatzo ila ucku wa kuamkia leo ameniamsha ucngzn nakunambia nijibu sms niliyotumiwa na mwnmke wangu wakti mm cna taarfa yyte km kuna sms.sms yenyewe iliandikwa hivi!BADO NAUMWA DARLING.ukwel nilishtuka sn kwn sikuwa na dem nje ya ndoa,nilichofanya nilipiga cm mda huohuo nakupokea mwanamke huku cm yangu ikiwa loud.yule mwnmke aliomba samhni kwn alikosea number za mwisho.sasa mkewangu hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!

Huyo ni wa kumuolea mke mwingine,wivu utaisha!! tena fanya hivyo haraka.
 
Mkuu huyo kesha jistukia. Anatafuta gia ya kutokea. Hajiamini tena. Wakeupman!!@
 
Ebola ugonjwa hatari unaoenea kwa kasi.dalili zake ni homa kali,maumivu ya kichwa na kutokwa damu sehemu za wazi.
 
Wana JF mm nimeoa 2005 na sijabahatika kuwa na mtoto na huyu mke wangu,tatizo la mke wangu ni moja tu huwa anawivu sn kupita maelezo.imefika hatua naona nikero kwn sina aman na ndoa hii,nimejitahid sn kwenda anavyotaka bado haridhiki,mkewangu pia huwa anatabia ya kushika cm yangu na hii style kwangu cjaona kma ni tatzo ila ucku wa kuamkia leo ameniamsha ucngzn nakunambia nijibu sms niliyotumiwa na mwnmke wangu wakti mm cna taarfa yyte km kuna sms.sms yenyewe iliandikwa hivi!BADO NAUMWA DARLING.ukwel nilishtuka sn kwn sikuwa na dem nje ya ndoa,nilichofanya nilipiga cm mda huohuo nakupokea mwanamke huku cm yangu ikiwa loud.yule mwnmke aliomba samhni kwn alikosea number za mwisho.sasa mkewangu hataki kuelewa anataka kwenda kwao.naomben mawazo yenu pls!

Mwache aendeee mona atarudi mwenyewe tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom