Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,446
Nina mpwa wangu ni kijana tu ana 40yrs alikuja kuomba msaada wa kwenda kufanyiwa operesheni ya Busha huko Kisarawe nasikia hospitali ile ni wataalam sana wa kupasua mabusha. Tumechangishana na pesa ikatosha na yeye kukabidhiwa cha kushangaza siku zinaenda mitaani watu wanamjambisha kama kawa na yeye anaruka. Sielewi anfrahia kuendelea na huo mzigo wabusha au mke wake analifrahia linavyo mgonga gonga? Naombeni msaada nini nikifanye kwa mpwa wangu huyu?