Simulewi mwanaume huyu!!!!

Nailyne

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
350
111
jamani nisaidieni mwenzenu, huyu bwana anapenda sana kutumia vipako vyangu vya kike! yaani utakuta nina perfume yangu naye ana yake lakini atatumia yangu kisa eti zinanukia vizuri, hivyo hivyo kwa deodorant na body spray. sio kwamba hana zake anazo kuna saa hadi nadiriki kumnunulia spray ambazo zimeandikwa for men lakini naona hana interest kabisa! labda vyangu viwe vimeisha!hadi shower gel jamani ataacha ile ya for men atatumia yangu. Kuna siku ndio aliniacha hoi alinijia na body spray imeandikwa for women nikamshangaa nikamuuliza mwenzangu hiyo ulipewa zawadi ama ulinunua mwenyewe akasema alinunua mwenyewe yeye aliconsider harafu!yaani hadi lotion atapaka za kwaku,mimi sina tatizo la kushea nae vitu ila swali langu is this normal au mimi najishtukia????
 
Sidhani kama ilo ni tatizo kubwa sana, japokuwa si la kawaida. Kuna wanaume wachache wenye kupenda kutumia baadhi ya marashi (perfume) za kike. Nadhani linatokana na makuzi aliyokulia au mapenzi tu ya hizo harufu za hayo manukano. Usimfikirie vibaya, japokuwa si tendo la kawaida.
 
kuna baadhi ya watu wako hivyo uwa kama hawajiamini kutokana labda alikuwa hajui vitu kama hivyo kabla kwa hiyo cha mwenzake ndio anaona kizuri kuliko chake ndio maana anapenda kupaka vyako lakini vyake anaona kama sio vizuri, inachotakiwa ukae nae uongee nae kama hilo swala linakukwaza ila kama halikukwazi mwache tu

Au pengine anakupenda sana hivyo harufu unayonukia wewe nae anataka anukie hivyo kama kukukumbuka mie sion tabu yoyote, mfano mimi sio mtu wa lotion kwa sana hivyo nikitaka kupaka uwa nachukua ya wife tu na hata wife nae uwa mara nyingi anatumia perfume zangu za kiume na wala sijawahi kufikiria vibaya maana ni mke/mpenzi/mtu wangu kwa hiyo hayo ndio mapenzi sasa ukikuta anataka avae na chupi yako si ndio unaweza kukimbilia kwa wazazi kabisa wakati ni kawaida tu kwenye malavidavi
 
Si tatizo sana bana unajua perfume, deodorant etc za kike
hunukia vizuri zaidi ya za kiume kama amekwambia anapenda harufu mweliwe si kitu cha ajabu
 
Dada mchunguze vizuri huyo atakuwa na tabia za sgoga bottom,sasa wakati mnado hebu peleka vidole kwenye tigo yake uone riaksheni y*ke
 
Ni normal kabisa wala usishtuke. Inawezekana jamaa kakulia kwenye familia ya watoto wote wa kike!!
Hata mimi ilinitokea coz nilikulia familia ya watoto wa kike nilikuwa napaka hadi ANGEL FACE!!!
Coz niliona wanapendeza zaidi usoni,hadi kuitika kama mwanamke!!!
Pia hata nyie siku hizi mnapenda sana zile zilizoandikwa FOR MEN, Mbona hatushtuki??!!
 
Sidhani kama ilo ni tatizo kubwa sana, japokuwa si la kawaida. Kuna wanaume wachache wenye kupenda kutumia baadhi ya marashi (perfume) za kike. Nadhani linatokana na makuzi aliyokulia au mapenzi tu ya hizo harufu za hayo manukano. Usimfikirie vibaya, japokuwa si tendo la kawaida.

asante nimekusoma !
 
kuna baadhi ya watu wako hivyo uwa kama hawajiamini kutokana labda alikuwa hajui vitu kama hivyo kabla kwa hiyo cha mwenzake ndio anaona kizuri kuliko chake ndio maana anapenda kupaka vyako lakini vyake anaona kama sio vizuri, inachotakiwa ukae nae uongee nae kama hilo swala linakukwaza ila kama halikukwazi mwache tu

Au pengine anakupenda sana hivyo harufu unayonukia wewe nae anataka anukie hivyo kama kukukumbuka mie sion tabu yoyote, mfano mimi sio mtu wa lotion kwa sana hivyo nikitaka kupaka uwa nachukua ya wife tu na hata wife nae uwa mara nyingi anatumia perfume zangu za kiume na wala sijawahi kufikiria vibaya maana ni mke/mpenzi/mtu wangu kwa hiyo hayo ndio mapenzi sasa ukikuta anataka avae na chupi yako si ndio unaweza kukimbilia kwa wazazi kabisa wakati ni kawaida tu kwenye malavidavi

i got u may be i should start thinking of it positively...,
 
Ni normal kabisa wala usishtuke. Inawezekana jamaa kakulia kwenye familia ya watoto wote wa kike!!
Hata mimi ilinitokea coz nilikulia familia ya watoto wa kike nilikuwa napaka hadi ANGEL FACE!!!
Coz niliona wanapendeza zaidi usoni,hadi kuitika kama mwanamke!!!
Pia hata nyie siku hizi mnapenda sana zile zilizoandikwa FOR MEN, Mbona hatushtuki??!!

Eng. thanks nadhani ni malezi ndio yaliyoniaffect na mimi pia hadi kuanza kujiuliza maswali maana nilikuwa naambiwa if go shopping for my personals kama perfumes,lotion niwe naangalia label ili nisije nunua vitu vimeandikwa for men!!ila umeniacha hoi hadi angel face haha ha wewe ni noma but i got a point!
 
Dada mchunguze vizuri huyo atakuwa na tabia za sgoga bottom,sasa wakati mnado hebu peleka vidole kwenye tigo yake uone riaksheni y*ke

mhh mhhh mie sijawahi kuwa na mahusiano shoga, kwa hiyo sijui reaction zao embu niambie reaction ipi itanifanya nijue kama na yeye analiwa kiboga??
 
Pole sana. Inabidi umchunguze sana maana kwa kawaida kwa mwanaume kupenda vitu vya kike kiasi hicho si normal. Take ur time umchungeze then ujue coz inawezekana ni wale wanaume wanaopigwaga then wanakuwa active
 
mhh mhhh mie sijawahi kuwa na mahusiano shoga, kwa hiyo sijui reaction zao embu niambie reaction ipi itanifanya nijue kama na yeye analiwa kiboga??
Msome vizuri huyo fimboyaasali na ufuate huo ushauri aliokupa!
 
mhh mhhh mie sijawahi kuwa na mahusiano shoga, kwa hiyo sijui reaction zao embu niambie reaction ipi itanifanya nijue kama na yeye analiwa kiboga??
ukimgusa kalio utaona anazidi kukusogezea ukiendelea utasia "mi staki huko" im joking dont quote me wrong
 
Dada mchunguze vizuri huyo atakuwa na tabia za sgoga bottom,sasa wakati mnado hebu peleka vidole kwenye tigo yake uone riaksheni y*ke

Hii kitu gani ? Kwani huyo jamaa yake hayuko hapa jamvini? Sipati picha siku akifanya hivyo.
 
Labda hizo unazomnunulia ni za kuchakachua.. akipata kitu genuine mwenyewe atakubali, jaribu kumnunulia Hugo Boss, Obsession by Calvin Klein, Acqua Di Gio by Giorgio Armani; am sure hizo hata wewe kila akivua shati utakuwa unalinusa:smile-big::lying:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom