Simu ya Samsung yafuka moshi ndani ya ndege

Note 2 ya mwaka 2013 inakuja kulipuka mwaka huu..duh hiyo special case bhana ila sidhan kama hizo simu zina common weakness ya kulipuka..tungesikia mengi tokea 2013
 
Note 2 ya mwaka 2013 inakuja kulipuka mwaka huu..duh hiyo special case bhana ila sidhan kama hizo simu zina common weakness ya kulipuka..tungesikia mengi tokea 2013
hapo hata mimi nahisi simu ilikuwa na tatizo lake si kweli kuwa toleo zima la note2 sasa halifai
 
Acha kupotosa mkuu. Aina ya gari ilikuwa ni Jeep. Ungeziona hizo picha ungetambua hilo. Ila kwa kuwa amekuhadithia meku kwenye kijiwe cha kahawa na wewe umekuja kutumwagia fleva humu.

kupotosa>>>>>kupotosha

Baadhi yetu hushindwa kutofautisha kati ya jeep na pick up

lakini sina hakika kwanini umetoa hii comment, na sijui kwanini useme nimehadithiwa kwenye kijiwe cha kahawa...binafsi inisaidie nini mimi nidanganye humu JF kuhusu hili ....na sielewi kwanini wewe ''uumie' kuwa mimi sikuziona hizo picha (and for your information kulikuwa na picha moja tu) ...Yaani kwa ujumla sijakuelewa...What is the big deal???? Sidhani kama kuna mashindano humu JF ya mtu wa kwanza kuona hiyo picha....
 
Kutengenesewa mchozo had waseme zirudishwe wanalipa na fidia?
Hiyo mi mpya bas hako kamchezo katamu
 
kupotosa>>>>>kupotosha

Baadhi yetu hushindwa kutofautisha kati ya jeep na pick up

lakini sina hakika kwanini umetoa hii comment, na sijui kwanini useme nimehadithiwa kwenye kijiwe cha kahawa...binafsi inisaidie nini mimi nidanganye humu JF kuhusu hili ....na sielewi kwanini wewe ''uumie' kuwa mimi sikuziona hizo picha (and for your information kulikuwa na picha moja tu) ...Yaani kwa ujumla sijakuelewa...What is the big deal???? Sidhani kama kuna mashindano humu JF ya mtu wa kwanza kuona hiyo picha....
Huwezi kunielewa kwa sababu umekuja mjini na mbio za baiskeli. Hiyo incident ilivyotokea kulikuwa mpaka na video clip achilia mbali hiyo picha uliyoiona. La pili kama kwenye picha ulishindwa kutofautisha kati ya Pick up truck na Jeep SUV basi wewe ni kiazi mviringo. Sina hata haja ya kubishana na wewe.
 
Siku zote wamarekani ni mbw, hawapendi mashirika mengine yakaendelea....navyojua note7 tu ndio zenye matatizo ya betri lakini si zote maana zimechanganywa from the factory kuzitambua inakua ngumu..
so kila mmoja na bahati yake kwa wale waliozinunua.

Ukija kwenye note 2,aise asikudanganye mtu ni sim nzuri mno, nadhani kuna ka-mchezo tu ka-nachezwa na marekani kuuwa soko la note series...

mimi nilitumia note2 sijapata kuona simu ngumu kama hiyo. Tatizo la Samsung ni betri inawahi kumaliza chaji, lakini kwa ugumu Samsung ni bora aise.

Kwa upande wangu sito-shawishika kuacha kutumia SAMSUNG COMPANY.

Back
Top Bottom