Simu used playstation games na computer used znapatikana

street king

Member
May 25, 2012
7
0
Habari zenu wanajf,,nakuja jukwaani kama kijana mjasiriamali anaechipukia,,nimekuja na biashara ya vitu vya mtumba kama vile SIMU,,,COMPUTERS,,,PLAYSTATIONS GAMES na vifaa vyake kama padi,flash,memory card,pia na cd zake,,pia nabadili mtindo wa ps2 na ps3 kutoka kutumia cd ili itumie flash,,pia naingiza game kwenye flash,,,nauza program ya kucheza game za playstation kwenye computer,,kwa yoyote ataekua anahitaji bas ataniPM
 
Mkuu, play station game 2, unauza shilingi ngapi, kwa moja. Asante, na hebu weka namba yako ya simu
 
Hivyo vitu ni vipya au used maana naona bei km ni ya mpya vile
 
Habari zenu wanajf,,nakuja jukwaani kama kijana mjasiriamali anaechipukia,,nimekuja na biashara ya vitu vya mtumba kama vile SIMU,,,COMPUTERS,,,PLAYSTATIONS GAMES na vifaa vyake kama padi,flash,memory card,pia na cd zake,,pia nabadili mtindo wa ps2 na ps3 kutoka kutumia cd ili itumie flash,,pia naingiza game kwenye flash,,,nauza program ya kucheza game za playstation kwenye computer,,kwa yoyote ataekua anahitaji bas ataniPM
ipo bado ndugu au ushabadili ID
 
Anaeweza nisahidia hii chaji plz ani dm
IMG-20220302-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom