Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Marando sio mnafiki ila ni msomi anayejua kazi zake. Ngoja ni kwambie kwanini sio mnafiki bali yuko kazini.

1. Uliponyimwa kugombea ubungo wewe mwenyewe ndo ulitapatapa kama kuku mwenye mdonde na haukurudisha kadi wala kuukataa UCCM ukajisogeza CCJ, yeye Marando ameikataa NCCR lakini kadi yao anayo na hata Slaa. Sasa iweje unafiki wako uufananishe na matendo ya watu makini kama hawa?

2. Marando ni wakili wa Jeetu hata kabla kesi yenu ya hela zetu mlizomkopesha kifisadi asaidie chama chenu kuua nchi, sasa ulitegemea Marando ajitoe wakati mteja wake ameshtakiwa na wakati yeye ndo alithibitisha mikataba yenu mliomtengenezea feki? Au unataka kutuambia Marando alijua zile pesa ni za kifisadi kabla.


Nape nyie mlimshutumu Kinana mkasema sio raia nasasa mmempa uongozi wa juu, sisi tukishutumu mnasema hayatuusu. Huu ndio Unafiki sababu mnatumia mabavu

Vipi Masalia wamedhibitiwa umeamua kuja mbele mwenyewe? Pole hapa hupawezi hamna vuvuzzela ni GT tu
 
Nape sometimes una point, tatizo ni kwamba wewe huna credibility yoyote ya kunyooshea watu vidole

you are sailing in the same boat
 
Mwanangu, si kila ushahidi huthibitishwa kwa kuona. wakati mwingine, ushahidi huthibitishwa kwa mazingira. Si wengi wamethibitisha uzinzi kwa kuona, na ukisubiri uthibitishe kwa kufamania, hakika haitatokea, ila ushahidi wa kimazingira unakubalika hata mahakamani.

Mwanangu, I remember how close i was, with your father, and i wish to be in his position. so naona nina jukumu la kukushauri hasa pale ninapoona mambo yanakwenda mrama.

Katika suala la kukana uanachama wa ccj, sijui utatumia lugha gani jamii ikuelewe. cha msingi, uanasiasa ni kuvaa roho ya chuma, acha kutafuta ushahidi, wa karatasi, kubali kuwa wakati fulani moyo ulipoteza imani kidogo na chama chetu, hasa ule wakati wa ugumu wa siasa, na mkuu wa kaya alipokutetea, imani ikarudi kwenye chama chetu, na sasa wewe ni chombo kizuri ndani ya chama. basi.
 
Mwanangu, si kila ushahidi huthibitishwa kwa kuona. wakati mwingine, ushahidi huthibitishwa kwa mazingira. Si wengi wamethibitisha uzinzi kwa kuona, na ukisubiri uthibitishe kwa kufamania, hakika haitatokea, ila ushahidi wa kimazingira unakubalika hata mahakamani. Mwanangu, I remember how close i was, with your father, and i wish to be in his position. so naona nina jukumu la kukushauri hasa pale ninapoona mambo yanakwenda mrama. Katika suala la kukana uanachama wa ccj, sijui utatumia lugha gani jamii ikuelewe. cha msingi, uanasiasa ni kuvaa roho ya chuma, acha kutafuta ushahidi, wa karatasi, kubali kuwa wakati fulani moyo ulipoteza imani kidogo na chama chetu, hasa ule wakati wa ugumu wa siasa, na mkuu wa kaya alipokutetea, imani ikarudi kwenye chama chetu, na sasa wewe ni chombo kizuri ndani ya chama. basi.

my foot, chombo kizuri? God forbid
 
Nadhani Marando mwenyewe alishawahi kusema kuwa kina Jeetu walitumika tu kama scapegoat na ndio maana anawatetea. There are key figures behind the EPA scandal who really need to be dealt sio hawa waliokuja kutumika dakika za mwisho kutawanya tu hizo hela!
 
Ndugu Nape

Nilishawahi kusikia kwamba Nape una masters.
Ni vigum kuamini kwa elimu na nafasi yako kwamba hujui kazi ya uwakili nini. Kwetu sisi wanasheria uwakili ni kuisaidia mahakama kufikia na kutoa uamuzi sahihi na sio kuwatetea km unavomaanisha.......

Ni mnafiki tu.
 
Nnauye Jr mimi siwezi kutoa hoja kwenye mijadala ya kadi kwani ni ujuha na haina maana kabisa, kwani mtu akiwa na kadi ya chama fulan but t expired kuna ubaya gani?

Ujumbe ni kwamba wale mamluki wenu wakiongozwa na kipenzi chenu PREZZO sasa hivi wameshakamatika na kila kitu kipo wazi.
 
Last edited by a moderator:
DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?........

Huyu hujamwita kibabu, Dr. Slaa ni mstaarabu sana. Mchakachue matokeo, mumtukane! Nimeshuhudia kwa macho yangu mpuuzi Maige kule Msalala akibeba ma box ya urais. Ukibisha leta data babu Slaa na Babu babua Kikwete walipataje.
 
Nadhani Marando mwenyewe alishawahi kusema kuwa kina Jeetu walitumika tu kama scapegoat na ndio maana anawatetea. There are key figures behind the EPA scandal who really need to be dealt sio hawa waliokuja kutumika dakika za mwisho kutawanya tu hizo hela!......

kina Kikwete na Kagoda!
 
Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?

........

Nape Jr,

Tafadhal edit thread yako na kusomeka hivi: Simkumbuki mzee mnafiki kama Wassira hadi kufikia kukana watoto wake kwa ajili ya CCM.

 
sasa kwani uongo ya kwamba wao wanategemea tunguri??

Kwa hoja zile wewe utaka kudiscuss nini na mtu kama huyo??.......

Jamaa mnafiki wewe,unaona tunguri za wenzako wakati mwenyewe una chale mpaka sehemu zisizofikika mpaka utoe ridhaa yako.Acha unafiki Le Big Show.
 
Nadhani Marando mwenyewe alishawahi kusema kuwa kina Jeetu walitumika tu kama scapegoat na ndio maana anawatetea. There are key figures behind the EPA scandal who really need to be dealt sio hawa waliokuja kutumika dakika za mwisho kutawanya tu hizo hela!......

Nape kama alivyo mwaccm yeyote ni wa kupuuza tu hawna jipya,wamechoka kimwili ,kiroho na kifikra.sisi walimu tumewapuza ccm kama walivyotupuza.

kila nikiona kina nape walivyonenepa napata hasira sana maana najua ni hela zetu waalimu wanazotuibia kwenye mishahara na masurufu yetu mengine.
 
DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?......

Mkuu kuwa mwelewa ushahidi unaoongelewa hapa ni ule wa mawasiliano ya Maranda na Baba yako Jeetu Patel.

Nape bana,kwa kujipendekeza hajambo,Jeetu Patel ni baba yake kwa kuwa ana fweza,Dr Slaa ni babu yake kwa kuwa nimpinzani wake wakati hawa watu wapo lika moja.
 
My bro nape,anaejifunika blanket dar achana nae joto litamkimbiza.unafik wa marando sawa na mbu akuimbi ulale akun'gate.
 
Huna jipya zaidi ya kutafuta pakutetea usaliti wako kwa CCM kwenda CCJ. Wewe ndo mnafiki na hapo ukiahidiwa vinono na Kagame utatuuza. Acha kuongelea usivyovijua, kwani ethics za uwakili unazijua? Tupe analysis ya kesi ya babako Patel tuone kweli Marando ndo mnafiki.

Usichoelewa ni kwamba unahisi wakili anamtetea mshatakiwa, la hasha anamuongoza kwenye vipengele vinavyosimamia anayoshutumiwa. Jipange kundi lako PM7 limesambaratika unampango upi ndugu Nape Jeetu Nnauye Patel
 
Anasema uanasheria ni taaluma inayomtaka kutoa utetezi kwa kila mtu kama ilivyo udaktari unaowataka kuwatibu hata majambazi.
Unafiki upo hapo
Jasusi. Tena ni dhahiri kabisa. Na kisiasa it's a bad look.

Na mimi kama mpiga kura nina haki kabisa ya kutumia sababu hiyo kumuona
yeye ni mnafiki na asiyestahili kura yangu. Utapingaje ufisadi kwenye
majukwaa ya kisiasa halafu mahakamani ugeuke na kuwa mtetezi wa hao hao
watu unaowachana kwenye majukwaa ya kisiasa? It's stupid.

Na mfano wako wa daktari na dadaye hata haulingani na unafiki wa
Marando.
 
Aisee msingempa bann jamani ndizo salamu za X-mass za magamba.Huwa wao umbea ni kitu kikubwa sana.Najua Nape ni mwoga wa mwaswali ila hapa atachukua kama excuse ya kukimbia wajibu wake kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom