Bunge la Dkt. Tulia japokuwa halina Wapinzani linaweza kufanya mambo makubwa kuliko lile la " Speed & Standard" la Mzee Sitta!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Vikao vilivyoisha vya Bunge vimekuwa na sura inayeta matumaimi huku Mawaziri Wengi wakionekana ni Zilipendwa wasio na ubunifu

Tunakumbuka Bunge la Mzee Sitta kwa sababu liliiwajibisha Serikali na Baraza la Mawaziri lilibunjwa katika kupambana na ufisadi

Kamati ya Dkt. Mwakyembe ilisheheni Wabunge wa CCM na ndiyo iliyosabsbisha Waziri mkuu mh Lowassa kujiuzulu na Baraza la Mawaziri kuvunjika automatically

Hata hivyo Dr Slaa, Hamad Rashid na Zitto Kabwe walikuwa na mchango mkubwa sana katika Bunge lile

Spika Tulia chapa kazi Sisi Wapendwa katika BWANA tunakuombea Usiku na Mchana

Nawatakia Dominica yenye Baraka!
 
do you believe in those performative theatrics? watu wanaruka ruka,wanalaumu watu ambao hawana majina. yani wanalalamika nchi ina madeni kibao. They are paying lip service to save face in 2025
 
Vikao vilivyoisha vya Bunge vimekuwa na sura inayeta matumaimi huku Mawaziri Wengi wakionekana ni Zilipendwa wasio na ubunifu

Tunakumbuka Bunge la Mzee Sitta kwa sababu liliiwajibisha Serikali na Baraza la Mawaziri lilibunjwa katika kupambana na ufisadi

Kamati ya Dkt. Mwakyembe ilisheheni Wabunge wa CCM na ndiyo iliyosabsbisha Waziri mkuu mh Lowassa kujiuzulu na Baraza la Mawaziri kuvunjika automatically

Hata hivyo Dr Slaa, Hamad Rashid na Zitto Kabwe walikuwa na mchango mkubwa sana katika Bunge lile

Spika Tulia chapa kazi Sisi Wapendwa katika BWANA tunakuombea Usiku na Mchana

Nawatakia Dominica yenye Baraka!
Kisa ni zile porojo za wakina Shabiby za kilo cha Mamba? Kazi ya Bunge sio kuongea bali ni kuchukua hatua, pale hakuna Bunge kuna wahuni wanakutana na kutoa machozi ya mamba.

Hakuna bunge pale
 
Vikao vilivyoisha vya Bunge vimekuwa na sura inayeta matumaimi huku Mawaziri Wengi wakionekana ni Zilipendwa wasio na ubunifu

Tunakumbuka Bunge la Mzee Sitta kwa sababu liliiwajibisha Serikali na Baraza la Mawaziri lilibunjwa katika kupambana na ufisadi

Kamati ya Dkt. Mwakyembe ilisheheni Wabunge wa CCM na ndiyo iliyosabsbisha Waziri mkuu mh Lowassa kujiuzulu na Baraza la Mawaziri kuvunjika automatically

Hata hivyo Dr Slaa, Hamad Rashid na Zitto Kabwe walikuwa na mchango mkubwa sana katika Bunge lile

Spika Tulia chapa kazi Sisi Wapendwa katika BWANA tunakuombea Usiku na Mchana

Nawatakia Dominica yenye Baraka!
Bora hata bunge la somalia
 
Ndio maana nimeweka hoja kwamba Tanzania hatuhitaji Upinzani kwa sababu Hakuna haja
 
Basically and principally thread writer you are just kidding. How dare you praise these ccm mps who are bootlickers and used as rubber stamps or toilet papers?

When speaking during the parliamentary sessions, their statements are full of hollow praises to madam president.

We saw one of them somersaulting in the house without even an iota of shame and the one wore the bobble hat. Both of them intended to show seriousness and determination of what they were vomiting live on camera. Then you call these animals in human nature as serious mps?? They are good for nothing these imbeciles.

You can't be serious buddy!
 
Back
Top Bottom