Simbilisi, simbilisi, simbilisi

huh, hawa Guinea pigs niliwahi kuwaona ezi hizo miaka ya 90 pale SUA............dah kumbe bado wapo!
 
Hawa ni kama panya buku (wakifanana na sungura hasa kichwani). Kama panya, nao pia wanatumika sana katika tafiti za kisanyansi. Kwa kiingereza wanaitwa "guinea pigs".

guinea_pig1.jpg

hahahaaa..!!. hawa wanyama hawakai kwenye udongo, wanapenda kukaa kwenye nyasi tu. wanajua kujificha si mchezo. huwa wengi wanawafuga kama mapambo.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
hawa ni kama panya buku (wakifanana na sungura hasa kichwani). Kama panya, nao pia wanatumika sana katika tafiti za kisanyansi. Kwa kiingereza wanaitwa "guinea pigs".

guinea_pig1.jpg

kazuri!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Yeah...nimewaona zaidi maeneo ya baridi kama Iringa, huku pwani sikumbuki kuwahi kuwaona.

Hao seal, ni tofauti...wao ni wakubwa na ni wa majini zaidi (wanakaa baharini /pembezoni mwa bahari).

white-seals-picture.jpg


Ni kweli hao uliowasema wanaitwa Seal, lakini pia kwa mikoa ya kaskazini na baadhi ya maeneo ya DSM huwaita simbilisi Sili.... kuna jamaa alikuwa akiwafuga mitaa ya kinondoni shamba miaka ya tisini
 
  • Thanks
Reactions: SMU

Similar Discussions

Back
Top Bottom