Simbachawene fuata yako ya jimbo la Kibakwe ya kwetu Mpwapwa tuachie tutamaliza wenyewe

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Umekuwa mstali wa mbele ukimpigia chapuo kijana Mkemwa ambaye ni wakwenu huko jimboni Kibakwe ili eti awe Mbunge wa Mpwapwa kwa sababu huyu aliyopo ameshindwa kabisa ku-crick. Huoni kamaa hututendei haki na unatuingiza chakaa kwa makusudi kabisa?

Pili huoni kama waziri unapen yeza agenda zako za uchaguzi mapema kabla ya wakati kinyume kabisa na maagiza ya makamo wa Mwenyekiti taifa Comredi Kinana ambae amesema mala kwa mala ni marufuku kufanya mambo ya uchaguzi kabla ya muda?

Huyo Mkemwa ni nani? Tafadhari Mheshimiwa ukitaka safari hii Wana jimbo la Mpwapwa tukuvunjie jheshima andelea na huyo Mkemwa wako, tunakuona japokuwa wewe unajidai kufanya siri.

Ebo, Mwenyekiti wa CCM Kibakwe, Mwenyekiti wazazi Kibakwe, Mwenyekiti UWT Kibakwe na VETA umeivutia kibakwa na Mbunge wa Mpwapwa unataka atoke Kibakwe upuuzi gani huo unataka kufanya?

SISI safari hii Mpwapwa hatutaki masiala tunataka tufanye mageuzi mkubwa kama wenzetu wa Kondoa ,safari hii tunatakakuweka Mama kama Samia ili aifungue Mpwapwa kama mama Samia alivyoifungua Tanzania, Tafadhari SImachawene tuache.
 
Dodoma ndyo mkoa wenye watu wapumbavu, mazuzu na wajnga zaidi kuliko mikoa yote nchini. Ndiyo maana kila mwenyeji wa Dodoma anadhani atatoboa kupitia kazi ya ombaomba..

Yaani tangu dunia kuumbwa Dodoma hamjawahi kuchagua mbunge toka upinzani. Na Sasa unatuletea ngonjera za Simbachawene. Ninyi wamewaona ni Nyani ndiyo maana.
 
Back
Top Bottom