Simbachawene: Ajira za Walimu kutoka baada ya bajeti kupita

Kim Il Kwon

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
1,219
1,033
12321340_1073893355987415_6427300591981579480_n.jpg

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji na Vipindi, Ruge Mutahaba akizungumza leo na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, George Simbachawene mara baada ya kutoka kwenye kipindi cha Clouds360 cha CloudsTv.

Waziri wa Tamisemi George Simbachawene asema ajira za walimu zitatoka baada ya bajeti kupita kuepuka mishahara kucheleweshwa.

Simbachawene ameyasema hayo leo kupitia kituo kimoja maarufu cha redio nchini. Kwa miaka mingi ajira zimezoeleka kutoka mwezi Februari mpaka mwishoni mwa mwezi Machi japo mara chache zilikuwa zikizidi kidogo.
 
Na piaaa mbn walishasemaa helaa zilizotengwaa n bilioni 233 kwa ajili ya kuajirii walimuu na jafoo alisema mapema mwaka huu
 
Hizi habari za kutafuta umaarufu mtaacha lini? Mimi nachoamini hii ni habari kubwa so Media ingeripoti Sana. Mbona tunarushana roho?

Sources please.
 
Back
Top Bottom