Simba wameteuliwa Super League ili kuibeba Al Ahly

Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Afrika lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.

Kilichofanyika ni kuiteua simba kucheza super league then kuipangia Al Ahly sababu wana uhakika Al Ahly atabeba points 6 + goals 10+. Na Simba hatafika popote. Tofauti na wangeiteua YANGA super league angeweza kuharibu mipango kwa kumtoa Al Ahly sababu nadhani mnajua kuwa Yanga na waarabu ni paka na panya.

NB: Wenye akili tumeelewa mchezo mzima, makolo asanteni Kwa kushiriki
Absolutely,exactly and truly kabsa makolo hawajielewi
 
Kama ni mfuatiliaji wa kabumbu la Afrika lazima utakubaliana na Mimi. Kuna nguvu kubwa ya kuendelea kuibeba Al Ahly iwe timu kubwa Duniani.
Ni kweli, ili timu ikubebe, ni lazima iwe kubwa halafu uifunge. Ni kama ambavyo Zalan na ukubwa wake ikaibeba Yanga
 
Unataka kusema mnyama simba(jike) amegeuzwa mbuzi wa kafara,waarabu wamrosti
Hapana. Simba kapiga kazi ana deserve kuwa pale.
Nadhani mngeendelea kuji rost na mwiko nyuma, hili jambo haliwahusu ni kubwa sana kwenu.

Sasa mpo nae kundi moja huyo Ahly, mzuieni Dar asichukue point,ndio tuongee lugha moja🤣🤣
 
Ana goal ngap champions
Hatujakutana na wewe champions, halafu Yanga hajacheza champions miaka kama umri wako ujue🤣🤣🤣.

Mara ya mwisho Yanga anacheza champions 1998 nilikuwa nakubeba, nikienda kununua sigara. Unakuwa unalia lia baba mdogo "ataka pipi, atak bisikuti".

Leo umekuwa Chura daima mbele, na mwiko nyuma. Unatikisa ndembendembe majukwaani🤣😭.
 
Hatujakutana na wewe champions, halafu Yanga hajacheza champions miaka kama umri wako ujue.

Mara ya mwisho Yanga anacheza champions 1998 nilikuwa nakubeba, nikienda kununua sigara. Unakuwa unalia lia baba mdogo "ataka pipi, atak bisikuti".

Leo umekuwa Chura daima mbele, na mwiko nyuma. Unatikisa ndembendembe majukwaani.
Yanga ndo timu ya kwanza kucheza final ya CAF
 
Yanga ndo timu ya kwanza kucheza final ya CAF
Kucheza fainali ni hatua kubwa lakini bado ni hatua tu kama robo, nusu, fainali n.k Lengo ni kombe.
Fainali hiyo ya shirikisho haiondoi fact kuwa wewe kwa Simba katika mambo ya michuano ya CAF kiujmla ni MDOGO.🤣

Na hata hapa nyumbani Simba unamzidi kuchukua ubingwa wa ligi mara nyingi, lakini ukija JUMLA ya makombe ktk michuano ambayo Yanga kashiriki na Simba kashiriki, Simba anakuzidi. So overall Simba ni kubwa kuliko Yanga🤣🤣🤣.

Huwa mnajitia mwiko nyuma na kuanza kujikatisha viuno kwa namna ya pekee unaskia mwanayanga anasema "Nyerere Cup ndio nini"🤣🤣. Unamwambia ukiondoa Ligi kuu, hii ndio ilikuwa michuano ya pili kwa ukubwa, ni kama FA sasa.

Utaskia mwanayanga anakwambia CECAFA tusihesabu😤. Sijui huwa wanawafanyaje mtu smart ila ikija habari ya Yanga anaongea vitu vinastaajabisha, sijui ndio mwiko nyuma unakuwa una disturb neurons.

Sasa hivi AFL nayo mnaiponda kiaina, mwakani mkija kushiriki, makelele meeengiii,wakati WAASISI watakuwa wametulia tu🤣.

Kubalini Simba ina mipango mizuri kiujumla tangu zamani.
 
Kucheza fainali ni hatua kubwa lakini bado ni hatua tu kama robo, nusu, fainali n.k Lengo ni kombe.
Fainali hiyo ya shirikisho haiondoi fact kuwa wewe kwa Simba katika mambo ya michuano ya CAF kiujmla ni MDOGO.

Na hata hapa nyumbani Simba unamzidi kuchukua ubingwa wa ligi mara nyingi, lakini ukija JUMLA ya makombe ktk michuano ambayo Yanga kashiriki na Simba kashiriki, Simba anakuzidi. So overall Simba ni kubwa kuliko Yanga.

Huwa mnajitia mwiko nyuma na kuanza kujikatisha viuno kwa namna ya pekee unaskia mwanayanga anasema "Nyerere Cup ndio nini". Unamwambia ukiondoa Ligi kuu, hii ndio ilikuwa michuano ya pili kwa ukubwa, ni kama FA sasa.

Utaskia mwanayanga anakwambia CECAFA tusihesabu. Sijui huwa wanawafanyaje mtu smart ila ikija habari ya Yanga anaongea vitu vinastaajabisha, sijui ndio mwiko nyuma unakuwa una disturb neurons.

Sasa hivi AFL nayo mnaiponda kiaina, mwakani mkija kushiriki, makelele meeengiii,wakati WAASISI watakuwa wametulia tu.

Kubalini Simba ina mipango mizuri kiujumla tangu zamani.
Sawa mkuu .....ila Leo mtakandwa heavily
 
Back
Top Bottom