Simba walitoa elfu 50 ili wachezaji wa Yanga wapewe Kadi wasicheze mchezo na wao

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Hii michezo basi Simba wanayo kuanzia siku nyingi rejea kwa mapana ishu ya Kabwili, Ulimboka et al ndio utafahamu Simba na kuhonga kwao ni pie ya 22/7 wanaipenda na wameizoea tangu kale.

Kumbe basi leo nlikua naangalia kipindi flani cha Azam mambo ya wahenga wale wanamichezo wa zamani wanahojiwa na leo walikua na Refa wa Zamani Mzee Israel Mwansasu kutoka Mbeya mwenye kazi yake Dodoma.

Mtangazaji wa Azam Ndg Mvula alimuuliza ni changamoto zipi kubwa alikutana nazo katika kazi yake alitaja kadhaa ila binafsi iliyonivutia ni ile kupewa Elfu 50 na viongozi wa Simba ili kutoa kadi kwa wachezaji hatari wa Yanga ili wakosekane mechi iliyokua inafwata ambayo walikua wakutane na Simba.

Refa Israel akaenda mbali zaidi kwa kutaja wachezaji waliotakiwa kula kadi ni Lunyamila, Said mwamba Kizota...nk walikua watano uzur mzee anakumbukumbu kweli.

Kumbuka hapo Yanga walikua wacheze na Pamba ya Mwanza kabla ya gemu inayofwata kukutana na Simba refa Israel ndio alikua achezeshe gemu ya Yanga Vs Pamba na kweli alichezesha na Yanga kula Magoli 3-1 uzuri mzee hakutoa kadi yoyote kwa mchezaji wa Yanga kwa hiyo elfu 50 ya Simba ikawa imeenda bure.

Kumbe basi hata haya tunayoshuhudia kwa sasa ni mwendelezo tu wa tabia zao za ajabu Simba.

Credit Azam Tv #Mvula

Roma ikisema imesema
 
Kabwili mkubwa wewe
 
Hata mie nilimsikia.
 
Mpira wa bongo kwa ulozi, takrima, kupenda kamserereko na figisu ni kitu cha kawaida sana

Kiasi kwamba hata wawe na kikosi cha maajabu na kikali kiasi gani na wafanye mazoezi kiasi gani,

bila kuzingatia vitu walau vitatu tajwa hapo juu, basi jua hapo kwa fikra zao (wachezaji, shabiki + viongozi) hakuna cha maana timu ilichofanya
 
Hii michezo basi Simba wanayo kuanzia siku nyingi rejea kwa mapana ishu ya Kabwili, Ulimboka et al ndio utafahamu Simba na kuhonga kwao ni pie ya 22/7 wanaipenda na wameizoea tangu kale.

Roma ikisema imesema
Nadhani ilikuwa ni kipindi mwishoni mwa miaka ya themanini na mwanzoni mwa miaka ya tisini kabla akina George Masatu na grupu lake lote la akina Paulo Rwechungura, Rwemaho Mkami, Beya Simba, Deo Mkuki, Kitwana Selemani, Hussein Masha, Fumo Felician, Madata Lubigisa, na Nteze John wangali Pamba. Wakati huo Pamba walikuwa wana mpira wa hali ya juu sana. Walipohamia kwenye timu za Dar, Pamba ikaanza kupoteza pumzi lakini na wao pia wakaanza kukosa ule mvuto waliokuwa nao wakingali Pamba.
 
Nadhani ilikuwa ni kipindi mwishoni mwa miaka ya themanini na mwanzopni mwa muiaka ya tishini kabla akina George Masatu na grupu lake lote la akina Paulo Rwechungura, Rwamaho Mkami, Beya Simba, Deo Mkuki, Kitwana Selemani, Hussein Masha, Fumo Felician, Madata Lubigisa, na Nteze John wangali Pamba. Wakati huo Pamba walikuwa wana mpira wa hali ya juu sana. Walipohamia kwenye timu za Dar, Pamba ikaanza kupoteza pumzi lakini na wao pia wakaanza kukosa ule mvuto waliokuwa nao wakingali Pamba.
David Mwakalebela, Juma Amir Maftaha
 
Kuna timu ya shelisheli waliibamiza 11 ukisikia tu jina nteze John jua Kuna goli huko hii winga ilipokuwa pamba ilikuwa cha moto sana

Fumo katikati aiseee
 
Hivi Azam tv na huyo mzee wakiambiwa wathibishe hizo kauli wanaweza, huyo refa baada ya kupewa hizo pesa aliripoti wapi? Washukuru uongozi wa Simba wamejaa vilaza Ila Kama ungekuwa uongozi makini Sasa hivi kungekuwa na mshikeshike
 
Yaoi wazi,yanajulikana,simba wakiingia mahakamani kwa hilo basi wanaweza ingia kwenye shida ya kushuka daraja,maana marefa wa sass wataungana na wa zamani na kufunua rushwa ambazo simba huwapa
 
Ili mradi na ww umecoment
 
Back
Top Bottom