SIMBA SPORTS CLUB. Wewe je?
kama sio waamuzi, tungewafanya "hamna" nyie!?
SIMBA SPORTS CLUB. Wewe je?
hivi kumbe hujui mpira, nakuomba ukaangalie tena huo mpira halafu uangalie kwenye youtube kosa alilolifanya okwi na mafta..je wangapi leo wamefanya makosa kama hayo
kama sio waamuzi, tungewafanya "hamna" nyie!?
A-one!
Nimeskitishwa na uchaguzi wako wa timu!
Hakika timu hiyo haikufanani bwanaa!
Angalia mavitu ya kutumia ubavu ya kianaume rangi zake!
Ushawahi ona cattapilar jekundu?
Ma'cattapilar iwe Kijiko, Poclain , excuvetor hua yana rangi gani?
Karibu huku!
Afu unafananaje na Bahanuz!
Hivi mkuu Rejao ana moyo mgumu pia...mi huwa nadhani hiyo pua yake pekee ndio ngumu
Sina timu bongo. Labda Azam
karibu sana mkuu azam fc bonge la timu bongo..
LikelikelikeYanga wanywa chibuku loo
wamachinga
yeboyebo
wana CCM
nooo
sina hizo sifa loo
mimi ni SIMBA na najivunia kwa hilo