Saa kumi jioni.Natak nikacheki mtanange.
Unaanza saa ngapi?
%^$*&$^$^$$&$^%#%%#^
Watauonyesha channel gan?
Azam tunawazika leo!
Mkuu, kasi ya mchezo hiko vipi? na imekuaje goli likafungwa mapema hivyo????Simba tuko nyuma kwa goli moja...
beki ya simba haijatulika kabisa na washambulia wamekosa mbinu ya kuwapita mabeki wa Azam FC...Tatizo na Pascoal beki wa simba ni mzito...Mkuu, kasi ya mchezo hiko vipi? na imekuaje goli likafungwa mapema hivyo????
Azam FC 2 na Simba 1