Simba vs Azam leo jumanne sep.11, 2012

Mh apo hamna gem ni maigizo tu leo,. Apo sawa na ccm na cuf wanavoishambulia cdm,. Sema simba na simba b sio simba na azam
 
simba
1-kaseja
2-cholo
3-amir
4-kapombe
5-nyoso
6-kazmoto
7-ngasa
8-redondo
9-boban
10-akufor
11-okwi

azam
1-dida
2-nyoni
3-shikanda
4-moris
5-moradi
6-mkami
7-mwaipopo
8-sure boy
9-boko
10-kiprecheche
11-
 
Mkuu, kasi ya mchezo hiko vipi? na imekuaje goli likafungwa mapema hivyo????
beki ya simba haijatulika kabisa na washambulia wamekosa mbinu ya kuwapita mabeki wa Azam FC...Tatizo na Pascoal beki wa simba ni mzito...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom