Simba v/s Yanga (Live TBC1)

Mkuu dk ya ngapi sasa..?

Eti yule fisadi Manji walisema katoa 50M ili kummaliza mnyama.. wakati players wanalia njaa na kocha wao pia. Bongo bana, kila kitu ufisadi na kuchakachua tuuu hata ktk mpira
 
hawa wetu leo

images
 
Hivi ni wachezaji wa timu B ndo wanacheza leo au first 11s
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom