Simba sc vs libolo!

Nilikuwepo uwanjani leo upande wa jukwaa la Yanga,washabiki wa Yanga walipuliza mipira ya condom na kuwaonyesha kwa kejeli washabiki wa Simba,ilikuwa burudani ya kutosha
 
Jamani wadau naomba mnisaidie kama ikitokea simba kashinda goli 2-1 itakuwaje?

Simba akishinda 2-1 watatoka vilevile kwasababu goli la ugenini kwa kawaida hutoa mapacha,kwahiyo jana Simba tayari kesha'conceive Pacha,akitaka avuke anatakiwa kushinda 2-0 au 3-1
 
Simba akishinda 2-1 watatoka vilevile kwasababu goli la ugenini kwa kawaida hutoa mapacha,kwahiyo jana Simba tayari kesha'conceive Pacha,akitaka avuke anatakiwa kushinda 2-0 au 3-1

Hapa mkuu napinga.Sheria ya magoli kuhesabiwa mawili na pale tu mnapotoka sare ya magoli baada ya mechi mbili.Hivyo Simba aka Malkia wa Nyuki atasonga mbele kwa idadi ya magoli 4 dhidi ya 3 ya LI.---- kama washinda 2-1 ugenini.
 
Simba ikifunga LIBOLO huko kwao Angola 2-1, Simba itasonga mbele..

Kwa nini?
1.Hata kama Simba ingeshinda 2-1, hapa ikienda Angola na kufungwa 1 bila ujue Malkia wa Nyuki nje..
2.Simba imefungwa 1, ikishinda Angola 2-1 itasonga mbele kwa sababu matokeo 2-2. Simba itasonga mbele kwa sababu ya magoli 2 ya ugenini dhidi ya 1 la ugenini la timu ya LIBOLO.
Simba wakitaka kusonga mbele:
Washinde 2-0, 3-1, 4-2, 5-3...:high5:
 
Simba akishinda 2-1 watatoka vilevile kwasababu goli la ugenini kwa kawaida hutoa mapacha,kwahiyo jana Simba tayari kesha'conceive Pacha,akitaka avuke anatakiwa kushinda 2-0 au 3-1

Kajifunze tena sheria ya goli la ugenini...
 
Simba akishinda 2-1 watatoka vilevile kwasababu goli la ugenini kwa kawaida hutoa mapacha,kwahiyo jana Simba tayari kesha'conceive Pacha,akitaka avuke anatakiwa kushinda 2-0 au 3-1

Futa hii comment usionekane mpumbavu.
 
14739.jpg

Hili jina la hii timu itakayocheza na simba litawasumbua sana mashabiki wa simba hasa kama watafungwa..,mashabiki wa yanga hawatakua na kazi kubwa sana ya kutengeneza kejeli za maudhi dhidi ya wanyama.

Tafakari mwana simba wakati ukiajiandaa dhidi ya libolo -Angola.
kwamba simba akifungwa watasema amepigwa ----.au
 
Kajifunze tena sheria ya goli la ugenini...

Futa hii comment usionekane mpumbavu....
Gang Chomba nikajifunze mara ngapi sasa wakati nimeshajifunza kwa Wadau walionisahihisha hapo juu,pia sioni sababu ya kuifuta wakati nilishakiri kukosea,mimi nafikiri nyie ndo mnapaswa kufuta comments zenu ksbb zimekuja tayari mkoseaji akiwa ameshasahihishwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom