Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,559
- 1,452
dkk ya 80bado dk ngapi?
dkk ya 80bado dk ngapi?
Pole mkuu, ndio ukubwa huo punguza hasira
Sina hasira mkuu,nilishajiandaa kisaikolojia(lol) kuyapokea matokeo haya,maana najua timu yetu mwaka huu ni BOMU kabisa mbele ya Simba...Anyways HONGERENI sana kwa kandanda safi mnayoionesha
Simba ni wazuri sana mwaka huu na wanacheza vizuri sana,Yanga wao bure kabisa,wamelewa sifa mnoo so kichapo kwa Yanga ni lazima(nilitegemea hivo na wala sishangai mnyama kutukandamiza leo)..Big up Simba kwa kandanda safi mnayoionesha,Yanga ubingwa mwaka huu tuusahau kabisaaaa,maana Timu yetu ni MBOVU sana..
Mpira dakika 90 kaka
Bado dakika 5
Utakuwa Yanga wewe!Mpira wetu TANZANIA bado maana bado mpira ndio unawapelesha wachezaji si wachezaji kuamua mpira uende wapi.NDIO MAANA UTAONA WACHEZAJI WA YANGA NA SIMBA WANARUNDIKANA MAHALI MPIRA ULIPO.SIJUI TUFANYAJE WANA JF?