Monsignor
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 523
- 13
Huyu Mbaga wa ovyoo sana
Tuchange tutafute private investigator a trace jinsi alivyochukua huo mulungula yamkute yaliyomkuta Othman Kazi
Huyu Mbaga wa ovyoo sana
wa kwanza huyuAcheni mahaba bwana...wafundisheni wachezaji wenu nidhamu badala ya kuanza kulia na refa..Yaani mchezaji amtukane Refa amuangalie tuuuuuuu
wa kwanza huyu
wa kwanza huyu
ahahahaaaaaa!!!watavamia jamvi nomaa,server itazidiwa...
Ebu tupeni listi
updates mazee!!
Wewe nawe..List ya nini saa hizi???
dakika ya ngapi mkuu? alafu van perssie anakusalia sana lol.Imepigwa kona kuelekea Yanga na haikuzaa matunda. Faulo inapigwa kwenda Yanga, si mbali sana na lango la Yanga
Imepigwa kona kuelekea Yanga na haikuzaa matunda. Faulo inapigwa kwenda Yanga, si mbali sana na lango la Yanga