babacollins
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 901
- 212
We ni maji marefu au murefu?!!Ghafla tu umetabiri simba na yanga unatafuta umaarufu wa uganga kwenye mpira nenda kaague kwanza ndo uje mpira ni dakiaka tisini au 120 kama haujavunjika lakini!!!
Mpaka sasa Simba amesha lala 2-0
Simba ni Mateja