SIMBA NA YANGA FINAL SIMBA BINGWA kwa goli 3

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Wanamichezo wenzangu kunatetesi ya kwamba SIMBA NI BINGWA katika final hii kama kawaida ye2 na anamfunga yanga goli 3 bila
 
Wanamichezo wenzangu kunatetesi ya kwamba SIMBA NI BINGWA katika final hii kama kawaida ye2 na anamfunga yanga goli 3 bila

Nani asiyewajua Simba kuwa mna "huu" sana??
Tusker cup mlichonga wee, round ya kwanza vodacom league mlichonga wee......mkaambulia vichapo.
Mtoto kwa baba hakui!
 
Nani asiyewajua Simba kuwa mna "huu" sana??
Tusker cup mlichonga wee, round ya kwanza vodacom league mlichonga wee......mkaambulia vichapo.
Mtoto kwa baba hakui!

unajua kama unajua unakuwa hauna tatzo ila kiukwel simba 2po juu babaake
 
Subili mziki wa kesho uone msijitetee ooh kwa vile Kaseja yupo na Stars

kwabahat mbaya huwa cmtegemei m2 kama kaseja hayupo atakae kuwepo atacheza 2uu uliona wap simba ikishnda magazet yakaunzwa mpk yakaisha mana kawaida ye2 sisi kushnda ila washnde yanga magazet yanaisha mana co kawaida yenu kufanya hvyo na mtake msitake kichapo kipo pale pale kesho ha,ha,ha,haaa
 
images
 
weweee unawaona wekundu hao hata mkienda kuroga mana ninajua leo yanga kamat ya ufund imewalaza wachezan kwny mapipa hata mfanye vp kichapo kipo pale pale yan imekula kwako chek wanaume hawa yan m2 simba damu mpaka bonsa yekundu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom