Wanamichezo wenzangu kunatetesi ya kwamba SIMBA NI BINGWA katika final hii kama kawaida ye2 na anamfunga yanga goli 3 bila
Nani asiyewajua Simba kuwa mna "huu" sana??
Tusker cup mlichonga wee, round ya kwanza vodacom league mlichonga wee......mkaambulia vichapo.
Mtoto kwa baba hakui!
jamani fainali ya komba gani tena?
mwanaume huwa hana haraka simba bingwa 2uu
unajua kama unajua unakuwa hauna tatzo ila kiukwel simba 2po juu babaake
Subili mziki wa kesho uone msijitetee ooh kwa vile Kaseja yupo na Stars
Subili mziki wa kesho uone msijitetee ooh kwa vile Kaseja yupo na Stars
Wanamichezo wenzangu kunatetesi ya kwamba SIMBA NI BINGWA katika final hii kama kawaida ye2 na anamfunga yanga goli 3 bila