Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,360
...Simba Sc...iliyokuwa chini ya mbunge wa Tabora Mjini...Aden Rage..imekuwa na Mipango mingi sana toka waingie madarakani...mipango hiyo... mabayo mingi iliwekwa Hadharani...naikumbuka michache mabayo kama inafanyika /itafanyika..ingawa cjui kama tayari wameanza...
>>>1.. Simba Sc kuwa na Uwanja wao wa kisasa...kumbuka hadi muahandisi alitajwa...na ramani zikawekwa..ila picha wala namba ya kiwanja bado siri...ingawa tuliambiwa kiko Boko.....
>>>2...Simba Sc kufungua TV...kwa wale waliokuwa uwanja wa taifa siku simba inacheza Setif tuliona simba Tv..na pia kulikuwa na matangazo (promo)..clouds Tv...na walifanya uzinduzi...ila mpaka sasa Kimya...
..Najiuliza hivi hii Simba Tv ina vifaa vyake?..je ina crew Team ya kufanya hizo Program?...kwanini wamesimama..vipi mdhamini wao Kilimanjaro bia...wameshindwa kudhamini hiyo Tv....
..Nawasilisha...nasubiri maoni yenu ..mipango imefikia wapi?...