kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,002
- 9,091
Baada ya Simba kupangwa kucheza na Mabingwa wa Afrika Al Ahly kwenye hatua ya Robo Fainali ya Michuano ya African Football League itakayoanza Mwezi Oktoba, Mchambuzi wa soka Geoff Lea amesema Simba kuitoa Al Ahly kwenye michuano hiyo ni ngumu sana.
"Nadhani mashabiki wengi wa Simba bado hawajaridhishwa na kiwango cha timu yao, ingawa nami pia ni shabiki wa Simba, sipo kwenye hilo kundi sababu ninaamini huu ni mwanzo wa ligi na kazi aliyoifanya kocha kwenye mechi za kujiandaa na msimu haiwezi kuonekana kwenye mechi za mwanzoni kama hizi za mpaka sasa, kwa hiyo bado ninaamini kuna kitu kitaonekana lakini yote kwa yote nafasi ya Simba kuitoa Al Ahly ni ngumu sana."— Geoff Leah kwenye EFM Radio.
View attachment 2739366