Sasa ndugu bila kujali nani katoa Takwimu ,hivi inakuingia akilini au hata moyoni tu,kuwa Yañga ni Bora kuliko Mamellod! Inashika no 3 ! Hebu tusimkufuru Mungu Kwa kutumia vizuri uuambaji,ikiwemo kufikiri Kwa viungo husika!Hizo takwimu ni Yanga kaxitoa? Mbona Hao hao walipotoa kuhusu Simba ulikuwa unapita road na kidedea?