Simba hamutoweza kutoka hapo mlipo hadi mjifunze kunyamaza

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,288
Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports.

Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na kujihakikishia kusonga hatua inayofuata.

Baada ya Ushindi ule tumeshuhudia Utani Mwingi sana sehemu mbalimbali kuanzia utani wa face to face mitaaani hadi katika Mitandao ya Kijamii, Twitter(x), Instagram, Facebook hata hapa Nyumbani JAMIIFORUMS jukwaa la Sports.

 I
la sasa kitu ambacho kimenifanya niibuke hapa nakuandika ni kitu cha kushangaza kutoka kwa Mashabiki na baadhi ya watu wenye hadhi ndani ya simba kuonekana wakijibu jibu hili swala la Ushindi wa Yanga hadi kufikia hatua ya kusema hawana kitu cha kujifunza kutoka kwa Yanga Mara Yanga kushinda kumechachizwa na MO.

Ujue kuna kitu kimoja Simba hua nawasema siku zote Mnajifanya Wajuaji kwenye Kila Jambo ndio utofauti wenu na mashabiki wa Yanga au hata Viongozi wa Yanga, Nyie hamkubali hata kidogo kua kwa sasa hampo vizuri.

Tuseme kukubali ni mbaya ila mngejifunza hata kunyamaza tu maana mkinyamaza hakuna mtu atawafunga, why nasema Mnyamaze kwa sababu Ukiwa Unajibu na kuonyesha kua na wewe ushawahi fanya hivi,Mara na wewe utafuzu, Mara wewe ndio club ipo juu kwa Ranks hayo mambo yatakupumbaza sana...

Chukulia kwa Yanga mara nyingi hua tunapenda kusema mashabiki wa Yanga wamepoa ila kuna Faida yake ukimuona mtu kanyamaza kapoa yule jua anajipanga vizur so hana mda wakukujibu wewe ila utakuja kushitukia tu BOOM kama sasa hivi.

Kipindi Simba mnatamba Yanga hawakua na Mda wa kuwajibu,Mlibeba Ubingwa mar 4 mfululizo hamkuwahi sikia wakisema makombe yao waliyo nayo,Hamukuwai ona wanasema washacheza pale Egypt game moja ya Moto na Ahly ila bahat haikua kwao ilikua kidogo wamtoe hamkuwahi sikia hayo wakijivunia nayo..

Do you know WHY?
Maana walijua yaliyopita yashapita wanataka ya sasa, na wao kwa mda ule hawakua vizur so walitakiwa wajipange na wakiwa vizur ndio wataanza kujibu.

Ndio tunaona sasa hivi wapo vizuri wanafanya kila kitu wanafurahii wanawatania ila nyie mnajibu eti hatuwez jifunza kutoka kwa Yanga inachekesha sana.

Hamlazimishwi ila endeleezen hizo mbwembwe mtakuja kushituka Yanga anaubingwa mara 10 Mfululizo wa Ligi na ashabeba Caf Champions League Mara Moja au zaidi.
 
Samahani kipindi yanga inafanya vibaya ilijifunza kwa Simba hadi ikafikia hapa ilipo?
 
Umesahau kuwa english nilisoma kwako mwalimu Maria!? Mimi ndio yule mwanafunzi niliyekushika kalio darasani.
Kama ndio wewe Veronika nimekukumbuka Vipi ulibadilika kweli tabia yako??? Maana ulikua unahongwa Chai tu ya 700 unatoa PAPUCHII yako!!!

Maana walikukula hadi madogo wa Form one Kina Yusufu kwa njia hiohio.
 
Samahani kipindi yanga inafanya vibaya ilijifunza kwa Simba hadi ikafikia hapa ilipo?
Huo ndio ukweli hata Yanga hawawez kukubali ila lazima mjifunze kwa mtu anaefanya vizur.

Ila ukweli utajifunza tu hata kama ukikataa utajifunza ujue kujifunza kupo kwa namna nyingi nyie hua hamjui...hata ile kutamani kua kama Fulani ila ukaacha kufanya anavyofanya nako ni kujifunza.

Sema Nyie hua mnahisi kujifunza ni ile ku Copy kitu cha mtu.
 
Kama ndio wewe Veronika nimekukumbuka Vipi ulibadilika kweli tabia yako??? Maana ulikua unahongwa Chai tu ya 700 unatoa PAPUCHII yako!!!

Maana walikukula hadi madogo wa Form one Kina Yusufu kwa njia hiohio.
Ni mimi yuleyule john tall niliyekuwa nakaa back bench....mwalimu maria ulikuwa na tako laini sana
 
Back
Top Bottom