Mwalimu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,581
- 1,069
Wikiendi hii nilikwenda Silversands Hotel na hali niliyoikuta huko inasikitisha sana. Majengo yamechakaa mno na sikuona dalili za kuwa kuna wageni wanaolala pale, sehemu inayofanya kazi ni bar moja tu ambayo imekaa kichovu mno. Inasikitisha kuwa eneo zuri kama hili limeachwa linaoza na hakuna kinachofanyika kupaendeleza.
Hivi USDM ndio wameshindwa kabisa kuiendesha hoteli hii? Wana wataalamu wengi wa masuala ya biashara ambao wangeweza kuandika business plan iliyotulia na kuipeleka benki kwa ajili ya mkopo then waingie ubia na wajuzi wa biashara ya hoteli...