Silaha ya mapinduzi tanzania.

Mwanahisa

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,382
510
Jamii Forum, jukwaa huru.
Hakikisha unawajuza na kuwaunganisha ndugu,jamaa na marafiki.
Information is power, kwa habari sahihi na makini hakuna jinsi hatutafika tunakotaka kwenda.
Hebu watanzania tuwe chachu ya mabadiliko yetu wenyewe, kwa faida ya nchi na uzao wetu.

Takwimu;
Washiriki wenye usajili wa JF hadi sasa ni 83,663 tu
na tunahitaji washiriki angalau 100,000 kukaribia malengo.
Tanzania tunayoitaka inaanza na wewe mtanzania.
 
Mkuu kumbuka hadi Nape, Mwigulu Nchemba nk na wao ni memba wa JF sasa sijui na wao unawahesabia katika kuleta mabadiliko au?
 
Back
Top Bottom