BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 573
Tunarudi pale pale kwenye kua mwangalifu...hicho ni kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wetu ila tunajifanya hatujali mpaka pale inapotokea. Kama mke na mume wote wamekubaliana hawataki mtoto basi watumie kinga.
kwa jinsi ninavyoelewa huwezi ukakutana na mwanaume /mke kwa kipindi cha week mbili mnalala na kuamka pamoja na siku zote mkatumia kinga sidhani kama kuna watu wana ujasiri huo ... kwani wataanza japo kimoja mara kinazaa kingine mara wanasahau