Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,834
- 59,482
- Thread starter
- #121
Lizzy nimekubali mchango wako; yaweza pia kuwa ni njia ya kujifunza. Vyovyote iwavyo una justify abortion (though umetumia kiswahili kirefu sana kukwepa kuliweka wazi hili) kwamba wenzi wana maamuzi juu ya kiumbe akibebacho, huku uki propose zaidi option ya 'mtoto wa kupangwa ama la'; katika dunia na mazingira ya leo wanadamu tuna prefer zaidi kufanya mambo katika uhuru na kuondoka na primitive/conservative idiology za God-fearing society ... hili linakuwa advocated sana through mordern media channels. Lakini pia malezi na exposure vina influence sana haya mambo ... ni jambo la kawaida kwa wenzetu lkn pia taratibu linaingia katika tamaduni zetu. Lakini pia ni ngumu sana kulizungumzia hili bila ku-declare interest katika imani yako ... kama unaamini kuna Mungu au lah! Ni vizuri kufanya kila kitu kwa kipimo chake wandugu, we might really want to be liberal and get-out of Godly / religous chains lkn twendeni taratibu jamani ... tuupe utu na ubainaadamu nafasi yake pia!
Mwenyezi Mungu awarehemu watoto wote walio katwa katwa vipande wakiwa tumboni mwa mama zao (kwa ushirikiano na baba zao) na hivyo kukosa nafasi ya kupumua hata pumzi ya sekunde moja hapa duniani ... kisa ... mtoto huyu hakupangwa!!
Well kwasababu kila mtu anaruhusiwa kuwa na opinion basi naomba niache uendelee kuamini upendavyo.
Ila kama ukijaribu kuelewa post yangu ya kwanza...nia haswa ilikua kuwafahamisha wale wanaolalamika kwamba hawakupanga kuwa na watoto walipanga kwa kutokua waangalifu on the first place. Siwezi kulaumu kwa wale watakaotafsiri tofauti na lengo langu so asante kwa mchango wako.