Sikupanga kuwa na mtoto...

Posta yanini sasa wakati tumekubaliana nikuje personal?

Unajua hii sredi imenitouch sana, imenikumbusha something very touchy in my life . So let me end here.
Good night darling!

Haya basi utaniletea ukipata nafasi...USISAHAU!!

Pole kama nimekukumbusha kitu cha kusikitisha bana...that‘s life!!
Sleep tight....sweet dreams na uamke ukiwa siriaz!!Lolz!
 
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!

Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.

Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi. Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!

Hapo sio kama unachanganya kati ya kuamua na kupanga? Au una maana kuamua ni sawa na kupanga? Kwa mfano ukipata mimba ambayo hakuitarajia, kitendo cha kuendelea kuwa na hiyo mimba badala ya kuitoa utakuwa umeamua au kupanga kuwa na mtoto? Nafikiri kinachopangwa ni mimba sio mtoto. Kuwa na mtoto ni maamuzi.
 
Hao wa aina hiyo wengi wao hutumia hiyo hali kama defencing mechanism kujiweka ktk mikono salama, na mara nyingi hutokea pale wanapojilinganisha na wenzao/marafiki zao!
Pia kuna kundi jingine hufikia kusema hv kwa sababu wkt wa ujauzito waliogopa kushughurika ukatoka (kwan wengi wadesign hii pindi wapatapo mimba huishia katika kutoa/abbortion), so hulea mimba na mpaka mtopo anapatikana kwa sababu hapo awali waliogopa kutoa mimba kwa sababu ya kulinda afya zao.-nadhan kwa watu wa diseging hii wako sawa kujitetea kwa kutopanga kuwa na mtoto japo wamesahau kuwa pale pindi mtoto azaliwapo ndio mwanzo wa mipango kwa mtoto wao mpendwa!
 
sio kwa mwanamke pekee, bali hata mwanaume anaekiri kuwa mtoto hakupangwa anamuathiri kisaikolojia (kama mtoto akijua) na hata kiroho (asipojua). wakristo tunaamini mdomo huumba. unapotamka neno kama hili,mtoto anakuwa na hali ya kukataliwa. kuna watu wana akili sana bt they ar rejected everywhere,sio shuleni,marafiki,kazini na hata pesa inaweza kukukataa!kama kuna mtu alishawahi kunena kitu kama hicho juu ya mwanae,inapampasa atubu kwanza na kufuta kauli yake.ni uonevu wa hali ya juu.imagine mzazi wako ungemsikia anasema hivyo juu yako, agghhhhrrr! kustuka,kuhamaki na kufedheheka kwa ajili ya mimba nadhani ni kawaida,bt u got 9months to adjust and come to terms with it.jamani,the way babies ar cute and can melt a stony heart,si-imagine mtu kusema hivyo.nadhani mtamkaji ndo hakupangwa,na sio mtoto!
 
Nakubali majukumu niliyojibebesha kwa kukubali kustareheka!!
<br />
<br />
Yaani lizzy wewe kichwa kimoja ni sawa na vichwa vya wangoni 200 una akili nakupenda bure we mdada na michango kumbe umekua hivyo!? MJ1 tulia mama lizzy anapita tu mimi na wewe mileleeeeeeeeeeee!
 
Mkeshaji: Nimewahi kusikia habari ya kuwa "Mtoto yule ni kharamu". Ikoje hii kitu....!!!!?
Hivi ndio baadhi ya vitu ambavyo sometimes vinanifanya nichukie dini. Mtoto hawezi kua haramu kwasababu sio aliyechagua azaliwe bila/kabla au nje ya ndoa!!
Ni lugha tu inayoleta maana tofauti. Tupitie kidogo yafuatayo kisha tujadili katika utamaduni wetu.

' Haraam is an arabic term meaning 'forbidden' or sacred.
In Islam it is used to refer anything that is prohibited by the faith, could be acts of adultery, murder,objects, foods etc etc.

Over years the term has accumulated additional non-traditional uses to it. In Arabic speaking countries haraam could mean Shame or pity ,for instance children are commonly told not to mistreat other children or animals because it is Haraam.
Haraam is also adopted by modern Hebrew slang'.

Kwa sisi waswahili kama ambavyo tumeona matumizi yanavyobadilika nasi tunalitumia kwa maana yetu. Tatizo hatuweki sentensi zetu vizuri.
Hakuna mtoto haraam wala mzazi haraam. Kilichopo ni mtoto wa haram ikiwa na maana mtoto aliyepatikana kwa njia zinazokatazwa na imani (faith)

Sentensi inakuwa 'mtoto yule ni wa haraam' ikimaanisha aliyepatikana nje ya utaratibu kwa imani husika, au mtoto wa aibu(shame) kama mila zetu pia zinavyosema. Hii haimaniishi mtoto ni haraam. Maana halisi ni kuonyesha utaratibu uliotumika kumpata mtoto.

Haraam sio tusi ni 'phrase' inayoelezea jambo kwa misingi ya imani au lugha kama tulivyoona hapo juu.
Kuna dini zinasema 'mtoto wa dhambi' haimaniishi yeye ni dhambi bali tukio lililoleta ujio wake lilikuwa la dhambi.
 
sio kwa mwanamke pekee, bali hata mwanaume anaekiri kuwa mtoto hakupangwa anamuathiri kisaikolojia (kama mtoto akijua) na hata kiroho (asipojua). wakristo tunaamini mdomo huumba. unapotamka neno kama hili,mtoto anakuwa na hali ya kukataliwa. kuna watu wana akili sana bt they ar rejected everywhere,sio shuleni,marafiki,kazini na hata pesa inaweza kukukataa!kama kuna mtu alishawahi kunena kitu kama hicho juu ya mwanae,inapampasa atubu kwanza na kufuta kauli yake.ni uonevu wa hali ya juu.imagine mzazi wako ungemsikia anasema hivyo juu yako, agghhhhrrr! kustuka,kuhamaki na kufedheheka kwa ajili ya mimba nadhani ni kawaida,bt u got 9months to adjust and come to terms with it.jamani,the way babies ar cute and can melt a stony heart,si-imagine mtu kusema hivyo.nadhani mtamkaji ndo hakupangwa,na sio mtoto!
unanikuna sana weye binti... basi tu
 
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!

Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.

Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!

Suala la kupanga au kutokupanga kuzaa mtoto ni la watu wawili yaani mweka mbegu na mtoa yai. Mfano hawa wawili kama wanafahamu vizuri calendar ya mtoa yai na wana dsicipline basi wanaweza kupanga kupata mtoto au la. Ila wakifahamu kabisa wamezidiwa na discipline ikashuka kidogo wanaweza kujikuta wamepata mtoto lakini wakati wanachanganya mbegu na yai kulikuwa na mambo mawaili aidha kupata mtoto au la. Na wale wasiokuwa na elimu ya uzazi kabisa basi hao hawatakiwi kabisa kusema wamepata mtoto kwa bahati mbaya kwani wanafahamu muda wowote watapata mtoto!!

Kwa context ya mwanzo upatikanaji wa mtoto unapangwa kwani ni suala la kuwa na knowledge an discipline hivyo sikubaliani nawe. Kwa upande wa pili - second context - hakuna mtoto anayepatikana kwa bahati mbaya kwani wahusika wanafahamu jibu ni aidha A au B na wanatakiwa kuwa tayari na jibu kati ya hayo mawili hivyo hapa hakuna kupanga bali ni kucheza bahati nasibu hivyo nakubaliana na wewe. Na ile ya tatu nakubaliana na wewe kwani it is any time tea time!!!
 
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!

Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn&#8216;t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.

Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
i appreciate hapo red
 
nna bahati una muwasho,lol!
ila kweli inasikitisha jinsi tulivyo wabinafsi! kuna mtu anakesha akiomba Mungu apate mtoto, halafu kuna mtu anasema mie simpendi huyu mtoto (kwa sababu ni mweusi,mphhh). aah, acha Mungu aitwe Mungu manake mie ndo ningekuwa Mungu ningegeuka alqueda. nawakusanya kwa mafungu jangwani nawalipua kwa raha zangu!
unanikuna sana weye binti... basi tu
<br />
<br />
 
Lizzy dear it is not that simple… Hapo in red.... Mimba ndio hasa mtoto mwenyewe to be… huwezi sema kua mimba unakua hujapanga lakini mtoto atakae zaliwa kapangwa… Ni muhimu mno kujipanga kwanza kabla ya kuamua kuzaa for the betterment ya mtoto – ili kuhakikisha huyo mtoto waweza mtunza… Sio lazima uwe na ule uwezoo, but walau maisha ya kusema waendesha maisha…. Hivo kuna watotot ambao kweli kabisa anapatikana na hakupangwa…

Justification hio in blue peke yake haitoshi… ndio maana kuna watu weeengi sana wanatoa mimba… whether it is right or wrong wahusika ndiio wanatambua… Kitu tu ambacho nimegundua from experience ni kwamba waweza kua na mimba na hukupanga, but kuzaa Yule mtoto no matter the circumstances is the best thing ever! Watoto wana raha yake mno…

Hapo red...nakubaliana na wewe 100%. Ubarikiwe
 
sio kwa mwanamke pekee, bali hata mwanaume anaekiri kuwa mtoto hakupangwa anamuathiri kisaikolojia (kama mtoto akijua) na hata kiroho (asipojua). wakristo tunaamini mdomo huumba. unapotamka neno kama hili,mtoto anakuwa na hali ya kukataliwa. kuna watu wana akili sana bt they ar rejected everywhere,sio shuleni,marafiki,kazini na hata pesa inaweza kukukataa!kama kuna mtu alishawahi kunena kitu kama hicho juu ya mwanae,inapampasa atubu kwanza na kufuta kauli yake.ni uonevu wa hali ya juu.imagine mzazi wako ungemsikia anasema hivyo juu yako, agghhhhrrr! kustuka,kuhamaki na kufedheheka kwa ajili ya mimba nadhani ni kawaida,bt u got 9months to adjust and come to terms with it.jamani,the way babies ar cute and can melt a stony heart,si-imagine mtu kusema hivyo.nadhani mtamkaji ndo hakupangwa,na sio mtoto!

Ubarikiwe kwa haya maneno mazuri!
 
Nahisi harufu ya damu hapa...so kama mimba imepatikana kwa bahati mbaya ndio inyofolewe??hii mada nahisi ina positive strategy za kuua watoto. Kama hamuhitaji mimba kwa nyie wadada/wakaka ni bora mtumie Condoms kwa uangalifu tutaepuka haya mambo ya bahati mbaya,.ila usiseme tena ilikuwa bahati mbaya Condom ilipasuka...tehetehe
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ni lugha tu inayoleta maana tofauti. Tupitie kidogo yafuatayo kisha tujadili katika utamaduni wetu.

' Haraam is an arabic term meaning 'forbidden' or sacred.
In Islam it is used to refer anything that is prohibited by the faith, could be acts of adultery, murder,objects, foods etc etc.

Over years the term has accumulated additional non-traditional uses to it. In Arabic speaking countries haraam could mean Shame or pity ,for instance children are commonly told not to mistreat other children or animals because it is Haraam.
Haraam is also adopted by modern Hebrew slang'.

Kwa sisi waswahili kama ambavyo tumeona matumizi yanavyobadilika nasi tunalitumia kwa maana yetu. Tatizo hatuweki sentensi zetu vizuri.
Hakuna mtoto haraam wala mzazi haraam. Kilichopo ni mtoto wa haram ikiwa na maana mtoto aliyepatikana kwa njia zinazokatazwa na imani (faith)

Sentensi inakuwa 'mtoto yule ni wa haraam' ikimaanisha aliyepatikana nje ya utaratibu kwa imani husika, au mtoto wa aibu(shame) kama mila zetu pia zinavyosema. Hii haimaniishi mtoto ni haraam. Maana halisi ni kuonyesha utaratibu uliotumika kumpata mtoto.

Haraam sio tusi ni 'phrase' inayoelezea jambo kwa misingi ya imani au lugha kama tulivyoona hapo juu.
Kuna dini zinasema 'mtoto wa dhambi' haimaniishi yeye ni dhambi bali tukio lililoleta ujio wake lilikuwa la dhambi.

Nguruvi

Nakubaliana na wewe hapo na ndio kisa hasa cha waarabu kusema "a child of shame" wakizungumzia wale waswahili tunaowaita wana wa haramu wanapozungumza kwa lugha ya kiingereza.
Au Wakristo wanapoita " a child of sin" kwa lugha ya Kiingereza

Though still mtoto anaposikia kuitwa hivi pia kuna muathiri kosaikolojia.
 
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!

Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn&#8216;t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.

Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!

...ni kupishana tafsiri na matamko tu.

Girlfriend wangu alipo niambia amepoteza siku zake (way back in 1990)...nilimshawishi tukacheki kama ame conceive.
Baada ya majibu na kwakuwa nilikuwa nampenda na kumjali, nilimshawishi ailee mimba, kisha tutamlea mtoto atapozaliwa.

...hatukuwa tumepanga apate mimba, ila tulikubaliana mtoto azaliwe.
 
Nahisi harufu ya damu hapa...so kama mimba imepatikana kwa bahati mbaya ndio inyofolewe??hii mada nahisi ina positive strategy za kuua watoto. Kama hamuhitaji mimba kwa nyie wadada/wakaka ni bora mtumie Condoms kwa uangalifu tutaepuka haya mambo ya bahati mbaya,.ila usiseme tena ilikuwa bahati mbaya Condom ilipasuka...tehetehe

...umesema la maana sana.

kuna wengine tayari wamo kwenye ndoa, weshazaa mtoto/watoto...ila kwakuwa mama ame conceive mapema, au ultrasound inajionyesha mtoto atayezaliwa sie yule waliomkusudia, wanaamua kufanya abortion.

ni ujinga uliopitiliza.

Nguruvi

Nakubaliana na wewe hapo na ndio kisa hasa cha waarabu kusema "a child of shame" wakizungumzia wale waswahili tunaowaita wana wa haramu wanapozungumza kwa lugha ya kiingereza.
Au Wakristo wanapoita " a child of sin" kwa lugha ya Kiingereza

Though still mtoto anaposikia kuitwa hivi pia kuna muathiri kosaikolojia.

...mtoto ni mtoto, either azaliwe ndani ya ndoa au la....
wangu iwe ni wakike au wa kiume, nitawarithisha sawa sawa.

...kwa miaka hii ya sasa, hizo sheria na hukumu za kidini na kiserikali
zinavutia kwenye hisia za kibinadamu na 'ushetani' zaidi i.e chuki, dhulma, fitna, majungu nk
 
...ni kupishana tafsiri na matamko tu.

Girlfriend wangu alipo niambia amepoteza siku zake (way back in 1990)...nilimshawishi tukacheki kama ame conceive.
Baada ya majibu na kwakuwa nilikuwa nampenda na kumjali, nilimshawishi ailee mimba, kisha tutamlea mtoto atapozaliwa.

...hatukuwa tumepanga apate mimba, ila tulikubaliana mtoto azaliwe.

Kwa kufanya tendo la ndoa peku peku bila kuongelea lolote kuhusu uwezekano wa kupata mimba, ni sawa na kuwa tayari kupata mimba, na kwa maana hiyo mtoto.

Mungu awatunuku watoto wale wanaopanga kupata mtoto na wasipate.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom