Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!
Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (Iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya Tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana Iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.
Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.
Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe Mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya CCM kuwa "ELIMIKA ILI UHUDUMIE TAIFA", na mhe Mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;
EDUCATION
1. University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 - 2004 GRADUATE
2. The East African Uongozi Institute Management 2002 - 2003 CERTIFICATE
3. University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 - 2006 MASTERS DEGREE
Je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.