Sikufanya makosa kumpa kura Mwigulu 2010, na naahidi kumpa tena akigombea 2015!

Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!

Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (Iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya Tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana Iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.

Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe Mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya CCM kuwa "ELIMIKA ILI UHUDUMIE TAIFA", na mhe Mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;

EDUCATION

1. University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 - 2004 GRADUATE

2. The East African Uongozi Institute Management 2002 - 2003 CERTIFICATE

3. University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 - 2006 MASTERS DEGREE

Je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.

alichokifanya huko iramba ni nini ambacho hakikuwepo????????????????
 
mkuu mbona gaidi ni lwakatare ndo maana hadi leo yuko ndani kwa ugaidi.

kama kweli kwa nini chemba alikuwa analalamika kwenye vikao vya chama mmemuachia zigo lote la kesi ya Lwakatare limtese wakati ulikuwa ni mpango wa chama? akaendelea kulalama hamuoni kumuachia yeye kunammaliza yeye na kuta disturb reputation ya chama vilevile?
 
Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!

Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (Iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya Tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana Iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.

Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe Mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya CCM kuwa "ELIMIKA ILI UHUDUMIE TAIFA", na mhe Mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;

EDUCATION

1. University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 - 2004 GRADUATE

2. The East African Uongozi Institute Management 2002 - 2003 CERTIFICATE

3. University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 - 2006 MASTERS DEGREE

Je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.

Una matatizo makubwa sana. Nani amesema ulifanya makosa that was your choice. Sasa ni kwa nini unahoji choices za wengine? Kama una degree ni lazima uliandikiwa dissertation yako. Nasema hivi kwa kuwa ujengaji hoja wako ni below standard. Kama ni K4 cha 2012 basi unajitahidi. Ukirudi darasani I am sure you will improve.
 
Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!

Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (Iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya Tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana Iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.

Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe Mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya CCM kuwa "ELIMIKA ILI UHUDUMIE TAIFA", na mhe Mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;

EDUCATION

1. University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 - 2004 GRADUATE

2. The East African Uongozi Institute Management 2002 - 2003 CERTIFICATE

3. University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 - 2006 MASTERS DEGREE

Je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.

Waulize watu wa Korogwe kiwango cha elimu cha mbunge wao Steven Ngonyani a.k.a Profesa maji Marefu na kisha uwaulize ni kwa kiasi gani anawatumikia.
 
Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!

Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (Iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya Tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana Iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.

Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe Mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya CCM kuwa "ELIMIKA ILI UHUDUMIE TAIFA", na mhe Mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;

EDUCATION

1. University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 - 2004 GRADUATE

2. The East African Uongozi Institute Management 2002 - 2003 CERTIFICATE

3. University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 - 2006 MASTERS DEGREE

Je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.

Usiishie Kumpa Kura tu, Mpe na Ndogo
 
nina mashaka kuwa wala haukumpa kura tu,kuna kingine pia ulichompa au mnaendelea kupeana.
 
Mwigulu anastahili sifa...uliza elimu ya mbowe sasa ndio utalikimbia jiji

Katika uongozi muda mwingine elimu sio kitu. Enzi za mwalimu Nyerere inaweza ikawa kipindi pekee nchini ambacho kilikuwa na viongozi wengi wenye elimu ndogo sana. Lakini walioyafanya huenda hata sasa hatuwezi kuyafanya. Angalia enzi za Mwl viwanda ambavyo sasa vimebinafsishwa vyote viliendeshwa na vilikuwa na manufaa kwa wananchi. Leo ukiona made in Tanzania ni kama bahati vile.
Uongozi ni uzalendo zaidi kuliko elimu. Maprof. wetu waliojaa nchini wao ndio wa kwanza kuangamiza maendeleo yetu kwa kuangalia maslahi binafsi.
Hivyo elimu ichukuliwe kama ni moja ya zana ya kumwezesha mhusika kuelewa/ Upeo wa kuona mbali lakini sio upeo wa kuwa mzalendo na huruma juu ya wale anaowaongoza.
Ndio maana leo unamwongelea huyo mshikaji eti ni mzalendo kaacha kazi benk na kuwa mbunge kwa ajili ya kutetea wanairamba lakini ameshindwa hata kujenga nyumba ya yeye mwenyewe kufikia akiwa eneo lake la kazi.
Kwangu kiongozi ni Uzalendo kwanza Elimu baadae.
 
Mwigulu anastahili sifa...uliza elimu ya mbowe sasa ndio utalikimbia jiji
kwa nini unamlinganisha Mwigulu na Mbowe?
hawalingani kwa vyeo vyao kisiasa.......
au kwa vile Mbowe ndo Mchadema mwenye elimu ya Juu kuliko wote?
sijajua logic ya ulinganishi wako
 
kwa hiyo mleta mada kwa elimu tu ya mwigulu ndio kaona anastahiliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? si kila mwenye vyeti ameelimika.
hata hivyo elimu hiyo ndio inayo mfanya apayuke matusi kama punguwani au amesoma hadi amechanganyikiwa?

nauliza tu.
 
Hivi hawa watoto wa CCM wanaomsifia mwigulu kila baada ya dakika tano ni WANAUME au WANAWAKE..? Im just asking...Mana ni aibu kumsifia mtu wa ajabu kama mwigulu kila saa...!!! hamoni aibu...
 
Acha kuchezea akili za watanzania wasomi!! Wewe umebugizwa maneno, bila kuyatafakari unayatapika mbele za watu ovyo, kwa akili yako, hiyo ndo unaona elimu ya kutambia dunia ya leo? Unachekesha, hujui kuwa elimu kama hiyo Marehemu Kamuzu Banda wa Malawi alikuwa nayo miaka mingi kabla hujajua kama kuna degree duniani, na bado wamalawi walichoambulia kwa kumchagua ni kuongezeka kwa maonezi, manyanyaso, na hata mauaji ya waliompinga na kesi za kubambikiwa kila aliyejitokeza kutaka kuwazindua akili wanyonge! Unampotosha huyo ndugu yako. "NAKUPA POLE SANA" siku zote kiongozi mzuri huwa haogopi kulikosoa tabaka kandamizi, si wale wanaojikomba kwa tabaka kandamizi ili nao watumiwe kukandamiza zaidi wanyonge. "SI KOSA LAKO, NI UMASIKINI WA KIFIKRA 2LIORITHISHWA"
 
Makamasi ya mbuzi wewe jisifie wewe unasifia wanaume wenzio ndio mana mwigulu anasex na wake za majamaa haya ya ccm,,acha nyimbo zako za kijinga
 
Kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!

Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (Iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya Tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana Iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.

Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe Mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya CCM kuwa "ELIMIKA ILI UHUDUMIE TAIFA", na mhe Mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;

EDUCATION

1. University of Dar Es Salaam Degree (Economics) 2001 - 2004 GRADUATE

2. The East African Uongozi Institute Management 2002 - 2003 CERTIFICATE

3. University of Dar Es Salaam Masters(Economics) 2004 - 2006 MASTERS DEGREE

Je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.

Huu ni UHARO! kamwage chooni
 
kiongozi wangu mhe. Mwigulu kwa sasa ni mti wenye matunda, kila mpinzani ana upiga mawe, na hii ndio inanipa faraja na furaha kuwa sijakosea kumpa kura yangu mhe. Mwigulu!!!

Mhe. Mwigulu ukilinganisha na wabunge wengi, yeye ni miongoni mwa wabunge wachache waliojitoa kuhudumia wananchi (iramba magharibi), kwani alikubari kuacha kazi yake kama mwandamizi wa benki kuu ya tanzania ambayo ilikuwa na maslahi makubwa tu, lakini kwa utashi wake aliweka maslahi ya wana iramba mbele kwa kuwa mbunge wetu, ila wabunge wengine wanautaka ubunge ili wapate tonge.

Kubwa linalo nifanya nibaki na msimamo wangu wa kumpa kura mhe. Mwigulu ni usikivu wake, umakini wa kufuatilia matakwa ya wananchi na upeo wake mkubwa katika kubuni mbinu za kusaidia changamoto mbalimbali za wananchi, kama vile upatikanaji wa maji kwa ukaribu, ujenzi wa shule na vituo vya afya.

Ni imani yangu haya yote mazuri ya mhe mwigulu yanatokana na elimu yake, kwani kuna kauli isemwayo ndani ya ccm kuwa "elimika ili uhudumie taifa", na mhe mwigulu amethibitisha hili. Jionee mwenyewe elimu ya mbunge wangu;

education

1. University of dar es salaam degree (economics) 2001 - 2004 graduate

2. The east african uongozi institute management 2002 - 2003 certificate

3. University of dar es salaam masters(economics) 2004 - 2006 masters degree

je, na wewe mbunge wako ana kuhudumia utakavyo? Ukiona ana mapungufu basi sio kingine, mchunguze elimu yake.

huu ni uharo, kamwage chooni.
 
Back
Top Bottom