KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Jambo wote wana wa familia ya JF??????.
Bila kupoteza muda nimeona ni vyema nikaweka matokeo yangu ya uchunguzi nilioufanya kwa kipindi kirefu na kubaini mambo kadha wa kadha juu ya jambo hili.Natumai mlio wengi mtakubaliana na mimi na wachache mtakataa juu ya kichwa cha habari hii kinavyojieleza. Hayo majina niliyoyataja hapo juu siku hizi yanatumika vibaya na yamekuwa kivuli/ cha kuficha maovu yanayotendwa na wote wa jinsia mbili walioko kwenye mahusiano ya mapenzi si mwanaume au mwanamke.Na kwa kutumia majina hayo yakisindikizwa na sauti bembelevu unawe ukamfunania mke/mume lakini utakapotumia mjina hayo yatakusafisha na kuonekana huna doa lolote.Na mapenzi hayo ya hayo majina yaliyoko hapo juu yamejaa usaliti wa hali ya juu.Pia majina hayo humsababisha anayeitwa majina hayo kujiona yeye ndio yeye wala hakuna mwingine na inapotokea dili hilo kugeuka kuwa dirisha mapenzi hayo huyeyuka na kumwacha mmoja aliyebweteshwa na hayo majina akiwa na maumivu makubwa moyuoni.