.......hata Zanzibar kuna Watanzania wengi zaidi kuliko Wazanzibari...
Haisumbui Tanganyika chukueni hilo jina TANZANIA tena kwa herufi kubwa kabisa sisi tunataka bendera ya Zanzibar kule UN ipepee pa pa pa pa pa pa pa..,
Kuvunja muungano itawanufaisha zaidi wana siasa kuliko wananchi wakawaida. Nitashangaa kama tutajiita Tanganyika jina la kikoloni na kuacha jina la Tanzania ambalo liliasisiwa na Baba wa Taifa.
Of course; kwanini tubadili jina? hata Zanzibar kuna Watanzania wengi zaidi kuliko Wazanzibari...
Haya ni mapendekezo kutokana na kuwa jina ni zuri na limekuwa na sifa duniani.
Haya ni mapendekezo kutokana na kuwa jina ni zuri na limekuwa na sifa duniani.
Utatumia lile lile Tanga la wanyika , TANZANIA, wazanzibari tunachkua mbao zetu, ZANIA na nyie mutabakiwa na TAN, sasa sijui utatumia lipi, utakuja zanzibar uwombe ukimbizi au utwakuwa mtanganyika au TanHaya ni mapendekezo kutokana na kuwa jina ni zuri na limekuwa na sifa duniani.
Hii dhambi ya kuvunja Muungano haitaiacha Zanzibar salama, Wapemba watataka Taifa lao na Unguja nao vivyo hivyo.
Cha msingi ni kushughulikia kero za Muungano na sio kuvunja Muungano! Wanasiasa wanapotosha sana kuhusu swala la Muungano....wafanyabiashara wakazi wa Zanzibar wamekua wakilalamikia sana swala la kutaka uwepo wa uwanja sawa katika kodi na mambo chungu nzima.
Na hili bomu ni muda limekuwepo bila kutafutiwa ufumbuzi wa kulimaliza, matokeo yake sasa wanahisi ni hila za makusudi kuwakomoa Wanzibari kupitia JMT/SMT
Haya ni mapendekezo kutokana na kuwa jina ni zuri na limekuwa na sifa duniani.
Utatumia lile lile Tanga la wanyika , TANZANIA, wazanzibari tunachkua mbao zetu, ZANIA na nyie mutabakiwa na TAN, sasa sijui utatumia lipi, utakuja zanzibar uwombe ukimbizi au utwakuwa mtanganyika au Tan
Of course; kwanini tubadili jina? hata Zanzibar kuna Watanzania wengi zaidi kuliko Wazanzibari...