Siku za muungano zinahesabika, Tanzania bara itaitwaje ukivunjika?

Sasa Muungano haupo, ni enzi hizo, kilichobaki ni Nchi 1, Jamhuri 1 na ni Tanzania, mkoa unaotaka kujitoa na ujaribu.
 
JAJI Warioba lete rasimu ya katiba mpya uwakumbushe misukule ya nyerere jina la nchi yao danganyika,ntwala,mrima tanzania bala washasahau masikini......sisi yetu twaijua
WAlivyo jisahau wakasema zanzibar si nchi from that point we understand that we made a mistake ...we united,we organised ourself, and send a clear messange, marekebisho ya katiba ya zanzibar 2010 ndio jibu kutoka jamii iliyopevuka kisiasa sio ya kutukanana,udini,ukanda watanganyika jifuzeni kutoka zanzibar mpya.
''JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR''View attachment 96066

Umegonga point.
 
Nimezaliwa 89 ndani ya tanzania sijui tanganyika ni kitu gani lakin natka muungano ukivunjika kila mtu awe bandarini ndani ya masaa 24 kurudi kwao ndio mtajua thamani ya muungano nyie waliberali wallah hamtokaa kwa amani huku bara kama mtaweza kubeba hizi nyumba bebeni lakin huku bara sie tutaendelea kua tanzania coz we have always be tanzanians to hell wazanziliberali!
 
Hakuna haja ya kubadilisha kwani wazanzibar wenyewe hawajiiti watanzania, ni sisi tu ndio tunajipendekeza.
 
Ukombozi wa Zanzibar ukombozi wa Tanganyika unfortunately baadhi ya ndugu are too thickheaded to connect the dots.
 
Hakuna haja ya kubadilisha kwani wazanzibar wenyewe hawajiiti watanzania
Si suluhisho la kudumu!
Vizazi vijavyo vitakuja kuhoji hili jina Tanzania wamelipata vipi na kuzua mijadala, je waendelee na jina Tanzania au warudi kwenye jina lililopata Uhuru?

Ili kuokoa wakati na nguvu zao ni bora kurudi kwenye jina Tanganyika.
 
Zanzibar haijawahi kubadili jina lake hata siku moja. Taifa lililobdili jina lake ni Tanganyika tu. Tanzania imekuwa one-sided name tangu 1964. Acheni hawa matapeli waondoke


Tutabaki na hilo jina lakini kuna watu wamezoea choko choko lazima wasema maana watakuwa hawana kingine, tofauti na hivyo watalazimika kukaa kimya kitu ambacho hawawezi, ila mimi nitapendekeza tuitwe KILIMANJARO tutajulikana na kukua kwa haraka
 
Bro dont you worry about a thing, every little thing wanna be alright post Muungano.
 
Mie ni mzenji lakini nafarijika sana kuona wengi wenu humu mmekuwa angalau mna hoji uwepo kwa tanganyika yenu,kipindi cha baba ilikuwa uhaini kuijadili tanganyika,c mbaya,tutazidi kuwapeni elimu mpaka mjijue nyinyi ni nani na ni wapi mnatoka,ningumu kupata maendeleo bila ya uzalendo wa taifa,BILA YA MUUNGANO TANGANYIKA INAWEZEKANA.
 
Nimezaliwa 89 ndani ya tanzania sijui tanganyika ni kitu gani lakin natka muungano ukivunjika kila mtu awe bandarini ndani ya masaa 24 kurudi kwao ndio mtajua thamani ya muungano nyie waliberali wallah hamtokaa kwa amani huku bara kama mtaweza kubeba hizi nyumba bebeni lakin huku bara sie tutaendelea kua tanzania coz we have always be tanzanians to hell wazanziliberali!

Nyinyi Watanganyika ni misukule hamujielewi, mpaka leo hujajielewa
 
Nani duniani asiyefahamu nini maana ya Tanzania. Kama kweli tunafikiria sawa sawa, tunapaswa kuipromote jina 'Tanganyika' kwa nguvu zote tena haraka kwa spidi ya mwanga, kwa maana wenzetu kweli wanatukataa japo twajifanya kuwapenda wao kuliko tunavyojipenda sisi wenyewe.
 
Haisumbui Tanganyika chukueni hilo jina TANZANIA tena kwa herufi kubwa kabisa sisi tunataka bendera ya Zanzibar kule UN ipepee pa pa pa pa pa pa pa..,
 


huna akili wewe kila kitu unaleta udini mbwa wewe..GOD IZ NOT A RELIGION BUT A SPIRITUAL BOND....sio kila kitu lazima upinge tu msheenzi sana ww


some people they just cant handle being wrong! .. kubali umekosea povu la nini.?

 
Sijajua hadi leo kwa nn zbar wana rais, na yy anateleza ilan ya chama gani! Wao si wana serikali ya muungano na huku ipo chin ya ccm. Kwa nini wasiachiwe zbar yao
 
Back
Top Bottom