Siku za CCM kuitwa wapinzani zakaribia

Hakika, siku zinakaribia na wao wataitwa majina yote wanayowaita wenzao kwa sasa. Eee Mungu nyoosha mkono wako
 
Chama cha magamba kimepoteza mvuto wake mbele ya watanzania waliowengi kutokana na sera yake ya kukumbatia mafisad na kutotekeleza waliyoahid wengi wautabiri mwaka 2015 ccm haitakuwa tena chama tawala bali ni chama cha upinzani

Si kwa Katiba na Tume hii ya uchaguzi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom