Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,719
- 114,064
Wanabodi,
Tunaposherehekea siku ya wanawake duniani ambayo ndio leo, sio vibaya tukiwakumbuka na Tanzanians Top Women Celebrities ambao kwa namna moja au nyingine, wameling'arisha jina la Tanzania, ndani au nje ya mipaka yetu. Wengine hata kwa kufanya visa tuu na vituko, vilivyosaidia kuwapa shibe na kula yao ya kila siku, wale wanahabari wetu njaa, wa yale magazeti yetu pendwa, ambayo japo ni magazeti uchwala, lakini ndiyo yanayoongoza kwa circulation, na mwisho wa siku, au kutoa mafunzo kwa wasomaji, au burudani kwa wapenda udaku;
Ma celeb hawa, wanastahili pongezi!
Pasco

- Wema Sepetu - Nadhani ndio Top Tanzanian Female Celebrity of all times!
- Hoyce Temu
- Happyness (Millen) Magesse.
- Joyce Kiria
- Tausi Likokola
- Wengine endeleeni kuwataja.
Ma celeb hawa, wanastahili pongezi!
Pasco