Siku ya kwanza unapiga denda ulihisi vipi?

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
2,232
2,884
Aisee first kiss kwa demu wangu nilihisi nimehama ulimwengu niko sayari ya jupiter na kiza hafifu mbele yangu.

Vipi wewe ulihisi vipi?
 
Hongereni kwa kubadilishana mate, mi nina kinyaa usipime!! Zangu mi ni mabusu kwa kwenda mbele!!
 
Dah Mkuu umenikumbusha patamu sana....nikiikumbuka ile siku hadi ladha yake inajirudia....huwa naenda lile eneo kufanya hija:(:(:(:(:(

Kwa jinsi ilivyokuwa tamu ilinifanya kupenda sana 'french kiss'' kwenye mahusiano....matokeo yake ninapofanya morphological examination, midomo ni kepengele cha pili.

Be blessed ROSE in wherever you are, lol!
 
Back
Top Bottom