Siku ya kwanza kaja kavaa mtukula

Siku ya kwanza kukutana naye huyo dada, unakuta kavunja kabati kuanzia juu mpaka chini,kajiupala usoni, kucha kapaka rangi tofauti tofauti,kila saa anajiangalia kwenye kioo chenye vidude fulani vya rangi tofauti viko kama pouda hivi na kujipaka ambavyo kaja navyo kwenye pochi.halafu mda wote yeye ni kuchat tu vidole havipumziki.watu wakimpigia simu anawadanganya live sehemu alipo.mala nipo nyumbani,kwa rafiki yangu,sikusikii nk.akikata simu anajifanya kuwasonya. kwangu huyu hana sifa. wewe je?mia
Kauvaaje huo mtukula sasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom