Siku ya kwanza kaja kavaa mtukula

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Siku ya kwanza kukutana naye huyo dada, unakuta kavunja kabati kuanzia juu mpaka chini,kajiupala usoni, kucha kapaka rangi tofauti tofauti,kila saa anajiangalia kwenye kioo chenye vidude fulani vya rangi tofauti viko kama pouda hivi na kujipaka ambavyo kaja navyo kwenye pochi.halafu mda wote yeye ni kuchat tu vidole havipumziki.watu wakimpigia simu anawadanganya live sehemu alipo.mala nipo nyumbani,kwa rafiki yangu,sikusikii nk.akikata simu anajifanya kuwasonya. kwangu huyu hana sifa. wewe je?mia
 
Hii imenikumbusha ya msichana mmoja hivi aliyekuwa anatoka na rafiki yangu.

Kumbe huyo msichana bana alikuwa na mchumba wake. Sasa siku ambazo alikuwa anakwenda kwa rafiki yangu, ikitokea yule mchumba wake akampigia simu, msichana anamwambia rafiki yangu akae kimya hadi atakapomaliza kuongea na huyo mchumba wake. Demu alikuwa anamdanganya sana huyo mchumba wake. Ooh sijui nipo kwa Kojo...mara nipo Nana...mara nipo hapa kwa Fumi. Kumbe yote hayo uongo tu. Demu yupo kwa njemba anamegwa.

Demu alikuwa anaona ujanja kumfanyia hivyo mchumba wake. Ila kwa jinsi jamaa yangu alivyokuwa na akili ya maisha, tayari alishahitimisha kwamba huyo demu ni hasara tu. Hafai hata kidogo.

Baada ya kumdinya dinya mshikaji akamfungia vioo. Sasa sijui ilikuwaje na huyo mchumba wake. Kama jamaa alimuoa basi aliula wa chuya.
 
huyu ndiye mzuri anajua kabisa kuwa yeye ni mfanyabiashara kwahiyo hapo mnaongea biashara tu,usipende sehemu kama hiyo utaomba ardhi ipasuke.Nalog off
 
Hahahah! Hii inanikumbusha juzi juzi tu mshkaji alikua anamdinya dem, huyo dem akapigiwa sim na jamaa yake, akapokea akamdanganya yuko saloon kwenye drier hawez kuongea vizuri na kuwa atampigia jamaa sim baadae! Hahahaha! Kumbe alikuwa anakisikilizia kitu! Hawa madem noma sanaaa!
 
kwani amekuja kufanya nini?

katika hali ya kutongozana, mnapanga siku tukutane mpandaisi pale njia panda ya himo.ndo siku ya kwanza kukutana naye anakuja kajikoki/kajicomplicate juu hadi chini.mia
 
huyu ndiye mzuri anajua kabisa kuwa yeye ni mfanyabiashara kwahiyo hapo mnaongea biashara tu,usipende sehemu kama hiyo utaomba ardhi ipasuke.Nalog off

umeona eeh..!!.wewe una akili sana.kuna wasichana hata kama hujui tabia zao unaweza kumsoma siku ya kwanza tu kukutana nae.stuka. mia
 
Hii imenikumbusha ya msichana mmoja hivi aliyekuwa anatoka na rafiki yangu.

Kumbe huyo msichana bana alikuwa na mchumba wake. Sasa siku ambazo alikuwa anakwenda kwa rafiki yangu, ikitokea yule mchumba wake akampigia simu, msichana anamwambia rafiki yangu akae kimya hadi atakapomaliza kuongea na huyo mchumba wake. Demu alikuwa anamdanganya sana huyo mchumba wake. Ooh sijui nipo kwa Kojo...mara nipo Nana..

Ukiona mwenzio anadanganywa, jua na wewe utadanganywa hivyo hivyo.mia
 
kichwa cha habari kimenihadaa,nilijua mtukula ni lichupi likubwa kubwa....

hahahaaa...!!mkuu mtukula nguo na viatu vya dukani. Yaani kila kitu dukani kuanzia juu mpaka chini ndo mtukula.mia
 
Kuna dada kwenye tangazo la Uswazi EATV ansema mie naitwa anti ______ nimevaaa jeferoo sasa wadau jeferoo ndo nini?
 
anasema chini kavaa silipazi kanunua jefero--jero--mia tano na pale ni ungalimited a-town..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom