siku njema wana Chit Chat

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,253
12,870
[h=6]Natumaini hamjambo wote wana chit chat! Hebu leo ondoka na huu ujumbe " Huwezi kupenda na kila mtu sabababu wewe sio PESA, na pia huwezi kuchukiwa na kila mtu kwa sababu wewe sio KIFO. Ishi upendavyo, usiishi wapendavyo! Siku njema woooooooteeeeee!!!!!!!! [/h]
 
amen charminglady! ila mie siku imeingia shombo toka jana! at least nimefarijika!
 
charminglady nakushukuru...ujumbe matata huu...nami nakwambia pia maisha ni mafupi sana haina haja ya kumchukia mtu...tupendane.
 
Last edited by a moderator:
amen charminglady! ila mie siku imeingia shombo toka jana! at least nimefarijika!

kwa nini bana....mimi yangu ilichafuka toka ijumaa na mpaka sasa lakini nina burudika vya kutosha......mchwa hali chupa ujue....
 
kwa nini bana....mimi yangu ilichafuka toka ijumaa na mpaka sasa lakini nina burudika vya kutosha......mchwa hali chupa ujue....
worrrrrdddd shostito! ngoja nijipe moyo inshallah nitaiona nyepesi, lolest! preta bwana eti mchwa hali chupa aka kioo aka glass! lolest!
 
Ahsante mwanangu charminglady. Ujumbe mzuri! Huku leo rais kaja kufunga wiki ya mazingira mjini pilika kibao na magari mengi,
 
Last edited by a moderator:
Sante!
Ujumbe Maini!
Utoshe kua ujumbeNyota wa siku!
Atakae tuletea ujumbe mwengine kwa leo utakua Viazi !
 
Natumaini hamjambo wote wana chit chat! Hebu leo ondoka na huu ujumbe " Huwezi kupenda na kila mtu sabababu wewe sio PESA, na pia huwezi kuchukiwa na kila mtu kwa sababu wewe sio KIFO. Ishi upendavyo, usiishi wapendavyo! Siku njema woooooooteeeeee!!!!!!!!
mambo mke mwenza
natumai siku hii itakua njema pia kwako zaidi ya sana
stay blessed
 
Back
Top Bottom