Siku niliyoacha kuwa-upgrade hawa mabinti

Unajua in life unaweza kuwa na uhusiano na mtu sio kwamba unampenda bali ni genye tuu..(kwa sisi wanaume sanasana)

Sasa kuna kipind flan kwenye maisha yangu baada ya kuachwa na mwanamke flan hiv ambae nilimpendaga sana nayeye kutimkia ughaibun akawaga na uhusiano na jamaa flan hiv mtoto wa balozi huko huko.....mim nilianza tabia flan mbaya ya kuchovya chovya kila kona

Kuna kipind nilikua sichagui..ingawa nilikua na standard zangu..chuo..walokole lokole yaan wale ambao hawnaa mambo meng..kiufup nilikua nacheza humo

Sasa kumbe kuna mabint ilikua nawapa confidence aisee ..unajua mabint weng wa kawaida hawa huwa hawajiamin..sasa unashangaa umemkuta hata makeup alikua hapak. Ukishakua nae tu ana turn into diva....sasa badae nikaja shtuka kumbee ,baada ya mdada m1 ambae nilitembea nae nkamwacha...alinambia yaan wewe ma x zako wa kawaida sana ..wew unatakiwa kutoka na madem kama flan....akataja...nkasema..(kimoyo moyo..kumbee)

Sasa dhumun la huu uzi..kuna li x langu flan..lilikua linanipenda sanaaa...ila tuliachana.sasa huwa mara nying linauliza wifi hajambo....lenyew kuutwa kuniringishia picha linavyo spend huko
Sasa mim nilidum nae almost 4yrs....toka nmeachana nae had leo hajatulia na bwana hata mwaka m1 yaan mpaka leo keshaachana na watu kama wa 4 ..sasa kisaikolojia naona bado ana hangaika tu..kwangu alitulia.

(Usinijudge...huyu tuliachana vibaya ndomana nmetumia kitenzi kishirikishi "li"

Sasa nakumbuka enz nakutana nalo..mim ndie nilimu upgrade na kuondoa low self esteem yake...yaan mim ndie nilifanya ajiamin kuwa kumbe anaweza kupendwa...sasa yeye ananikera yaan anataka nione progress yake kimapenz...

Leo katuma picha hapy new yr ..ukiangalia ule msos unajua tu hii ni breakfast on bed..yaan kalala na mtu sasa asubuh ndo wanakula breakfast....(ingawa kwa mbal kama nmeteseka hiv..sabab nw sina strong rlationshp)...so ananiringishia

Na tumeachana mda mref zaid ya miaka mi 4 nyuma huko

Uzi tayar. Nmeona nishee tu
Sharing is caring....
Point Muhimu: Kwa mbali kama nateseka hivi.
Hapo ndo alipokukamatia na inawezekana anajua unateseka lakini usijari rais alisema mwaka huu hamna raha hata kutoka kwa wenzi wetu
 
Back
Top Bottom